Mada Maalum ya Madereva: Changamoto, Uzoefu, Vituko na Connections

Jitahidi usogee hapa PSSSF Tower, utaikuta Parking inakusubiria.[emoji847]
Jomoneeeeeh mbna siku inaanza kua nyeupe mchana ivi, huhuhuhuh hili jiji litakoma now, ntakua na slay na ndinga ya sponsor, nkichoka nachukua mkoko wa babuu, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Anyways is fine to me.
 
Kuwa mpole...kaa mkao wa kupokea vyote (na kutoa lakini...)[emoji23]
Kutoa huko kwiooooh? Aaaah wee mie mjukuu wako hebu fanya fair play maisha yaende mule mule.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Jomoneeeeeh mbna siku inaanza kua nyeupe mchana ivi, huhuhuhuh hili jiji litakoma now, ntakua na slay na ndinga ya sponsor, nkichoka nachukua mkoko wa babuu, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Dodo chini ya mnazi[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Kutoa huko kwiooooh? Aaaah wee mie mjukuu wako hebu fanya fair play maisha yaende mule mule.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Usiogope mimi ni babu yako ..tulia
 
Woyoooooooooh, hapo sasa napenda mwanaume huna longo longo wee unakabidhi tyuuh funguo ya ndinga, nabaki mie kuwehukwa na kisebu sebu, afu unipeleke Hyatt regency bae.
Ukale, Ukunywe na Uogelee kwa ile Roof Pool huku ukinyea Mbingu. Just name the date and I'll pick you up.

You deserve all Babee.
 
Back
Top Bottom