Jomoneeeeeh mbna siku inaanza kua nyeupe mchana ivi, huhuhuhuh hili jiji litakoma now, ntakua na slay na ndinga ya sponsor, nkichoka nachukua mkoko wa babuu, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Jitahidi usogee hapa PSSSF Tower, utaikuta Parking inakusubiria.[emoji847]
Anyways is fine to me.Jomoneeeeeh mbna siku inaanza kua nyeupe mchana ivi, huhuhuhuh hili jiji litakoma now, ntakua na slay na ndinga ya sponsor, nkichoka nachukua mkoko wa babuu, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kutoa huko kwiooooh? Aaaah wee mie mjukuu wako hebu fanya fair play maisha yaende mule mule.Kuwa mpole...kaa mkao wa kupokea vyote (na kutoa lakini...)[emoji23]
Dodo chini ya mnazi[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Jomoneeeeeh mbna siku inaanza kua nyeupe mchana ivi, huhuhuhuh hili jiji litakoma now, ntakua na slay na ndinga ya sponsor, nkichoka nachukua mkoko wa babuu, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Woyoooooooooh, hapo sasa napenda mwanaume huna longo longo wee unakabidhi tyuuh funguo ya ndinga, nabaki mie kuwehukwa na kisebu sebu, afu unipeleke Hyatt regency bae.Anyways is fine to me.
Wacha kabisa babu, hii ni chungwa chini ya muembe [emoji23][emoji23][emoji23]Dodo chini ya mnazi[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Ndo nimetulia tuliiiiiii zaidi ya N/spika kusubiri mkoko hapa.Usiogope mimi ni babu yako ..tulia
Ukale, Ukunywe na Uogelee kwa ile Roof Pool huku ukinyea Mbingu. Just name the date and I'll pick you up.Woyoooooooooh, hapo sasa napenda mwanaume huna longo longo wee unakabidhi tyuuh funguo ya ndinga, nabaki mie kuwehukwa na kisebu sebu, afu unipeleke Hyatt regency bae.
Wese usijari babuuuh, mie ntajua nafanyaje.Ishu ya wese tunafanyaje sasa
This weekend bae,Ukale, Ukunywe na Uogelee kwa ile Roof Pool huku ukinyea Mbingu. Just name the date and I'll pick you up.
You deserve all Babee.
Babuuh bahati haiji mara 2, wee niache ndinga plus vacation Hyatt regency? Mmmmh nisamehe tyuuh.Umekuwa mkubwa...
Get ready.This weekend bae,
Ouk thanks much hunnieGet ready.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ila wee babu hapan lol.Malizia story mjukuu yupo tuu