Mada Maalum ya Madereva: Changamoto, Uzoefu, Vituko na Connections

Mjomba Mshana Jr sijaona watu wakichangia changamoto kubwa wanazokutana nazo madereva wa magari ya mafuta(Tanker).

Namna wanavyopata short katika mzigo wanaobeba, kukatwa pesa na wengine wanawekwa ndani.
Aisee hili ni kweli kabisa ila naona wahusika wakuu hawajawasili hapa kuna uonevu mkubwa kwenye hii sekta matusi na kashfa toka kwa matajiri
 
Nina mtunungu babuuuh, matashititi hapa ndo kwake.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mdogo mdogo bado nakupenda sana[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Sijaona wanzangu wa mitambo humu. Niliwai kukutana na mashine moja kuiwasha had uispray dawa ya mbu kwenye injini ndio iwake na hapo upo pori

Connection ya operator wa excavator jaman kama unayo
 
Sijaona wanzangu wa mitambo humu. Niliwai kukutana na mashine moja kuiwasha had uispray dawa ya mbu kwenye injini ndio iwake na hapo upo pori

Connection ya operator wa excavator jaman kama unayo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]poapoa unapiga mitambo gani? Loader ? Back hoe? Excavator?
 
Sijaona wanzangu wa mitambo humu. Niliwai kukutana na mashine moja kuiwasha had uispray dawa ya mbu kwenye injini ndio iwake na hapo upo pori

Connection ya operator wa excavator jaman kama unayo
Aaah, ilikuwa Caterpillar nini. Ukapuliza spray kwenye Air Cleaner.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…