Mada Maalum ya Madereva: Changamoto, Uzoefu, Vituko na Connections

Habari wadau wa jukwaa hili?naitwa Godfrey ni dereva mzoefu ila conection za ajira ndo tatzo kwangu,nimesoma PSV na leseni yangu ina madaraja yoote isipokuwa la mabasi makubwa tu,hivyo kwa yeyoye mwenye chanel ya kazi asisite kunitaarifu kupitia namba 0754991764,asanteni kwa mada nzuri ubaoni wakuu!
 
Location yako? Na kama hutojali umri wako
 
Ndo maana Matajiri wengi Wa magari ni makatili, Mjinga akiingiza Gari yangu mazingira kama haya lazima nimlambe makofi tu. Afu litalalamika limeonewa
Dah asee unaroho nzuri kumlamba makofi tu ,mi nimgemfunga
 
Tumtangulize Mungu kila wakati tunapotaka kuingia safarini,ni kweli ajali nyingine ni za uzembe lakini nyingi ni ajali zinazotengenezwa na mapepo kwa jili ya kunywa damu za watu...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…