Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
R.I.P japo hii kazi ya udereva ipo rohoni na mwilini mwangu ila mh Mungu tu atuepushie mbali na majanga yake ya ajali
Nafuata ushauri wako wa kuanzia veta ili kujifunza driving, nahitaji hints mbali mbali za kariba hii na nimeambiwa Intake 2 inaanza tarehe 21/3/2022. Nimeepewa control namba ya malipo ambapo ni tsh 237,000/= Pamoja na gharama ya fomu ndani yake.Nakuombea sana
Hongera sana sanaNafuata ushauri wako wa kuanzia veta ili kujifunza driving, nahitaji hints mbali mbali za kariba hii na nimeambiwa Intake 2 inaanza tarehe 21/3/2022. Nimeepewa control namba ya malipo ambapo ni tsh 237,000/= Pamoja na gharama ya fomu ndani yake.
Asante kwa kunipa moyoHongera sana sana
Sawa nitafanya hivyoUkikwama mahali nicheki bila shaka
Huyu haamini mwambie aje huku kwenye mashirika ya watuHili jambo lipo nimelishuhudua kwa macho