Mada Maalum ya Madereva: Changamoto, Uzoefu, Vituko na Connections

Mada Maalum ya Madereva: Changamoto, Uzoefu, Vituko na Connections

Screenshot_20220218-235126.jpg
 
Nakuombea sana
Nafuata ushauri wako wa kuanzia veta ili kujifunza driving, nahitaji hints mbali mbali za kariba hii na nimeambiwa Intake 2 inaanza tarehe 21/3/2022. Nimeepewa control namba ya malipo ambapo ni tsh 237,000/= Pamoja na gharama ya fomu ndani yake.
 
Hongera sana sana
 
Uyu mwandishi sijui madereva wa maroli wamemkosea nini? Maana kasafiri na dereva m1 tena anaendesha roli t10? Lakini katuvunjia heshima madereva wote? Maana kwenye ihi fani yetu ya udereva? wapo watumishi wa Mungu:- Wachungaji - mashehe - madokita - waarimu - na kuna wengine wana Elimu kubwa kuliko ata iyo Elimu yake ya kuchonganisha watu na familia zao? Anayojimwambafai nayo;mi binafsi naomba atuombe radha kupitia iloilo Gazeti lake; la sivyo tutamshita? Kama hanakosa taalifa za kuandika kwenye gazeti lake awe anaandika habari za kuwaelimisha jamii jinsi ya kujikinga na Covid 19.
Screenshot_20220227-174918.jpg
Screenshot_20220227-174936.jpg
 
Back
Top Bottom