Ni uchakavu wa hizo lock!!Hiv inakuweje had kontena linaanguka? Nikamba linakuwa halinafunga zile lock zake ama
Kuna uzembe sehemuLingine Extenal View attachment 2174297
Hizo skeleton zinakuja zimeshaoza, mpaka zinarudiwa rangi..Lingine Extenal View attachment 2174297
Skeleton inatoka UK imechakaa kutu Kila Kona mfano zile trailer za DennisonHizo skeleton zinakuja zimeshaoza, mpaka zinarudiwa rangi..
ikipata disturbance kidogo tu lazima kontena lijitenge!!
Hahaha sijui huwa zinafanya kazi gani huko.. ni trailer za hovyo sana!!Skeleton inatoka UK imechakaa kutu Kila Kona mfano zile trailer za Dennison
Mnaongea kitajiri sana hadi rahaHahaha sijui huwa zinafanya kazi gani huko.. ni trailer za hovyo sana!!