Mada Maalum ya Madereva: Changamoto, Uzoefu, Vituko na Connections

Mada Maalum ya Madereva: Changamoto, Uzoefu, Vituko na Connections

jamani nipo arusha mwenye conection ya udereva leseni yangu 0788473044 schagui kazi gari yyt hata daladala gari ya kubeba wanafunzi .
20210107_105950.jpg
 
Ujumbe kwa madereva wa bodaboda..
Muwe mnaoga na kufua hayo makoti/jackets zenu, mnafanya safari zetu kuwa ndefu.
Mnatupakiza na kutufikisha salama ila sasa tatizo harufu ya majasho na uvundo kutoka miilini na kwenye nguo zenu ni tabu tupu.
Kumbuka mie abiria nakaribiana na wewe kwa inch moja moja tu...hivo harufu yote naipata mimi wa nyuma

NB: Hii si kwa madereva wote.
Wengine ni wasafi na watanashati muda wote.
 
Vipi kuhusu yale ma helmet yanayovaliwa na kila abiria
Wasafi
Wachafu
Wenye majasho
Wenye chawa, kunguni nk
Wenye upele na ukurutu
Wenye gundu....., janabhah...!
 
Vipi kuhusu yale ma helmet yanayovaliwa na kila abiria
Wasafi
Wachafu
Wenye majasho
Wenye chawa, kunguni nk
Wenye upele na ukurutu
Wenye gundu....., janabhah...!
Mshana Jr we acha tu.
Dereva anakupa helmet ukiiangalia humu pembeni kwa ndani kuna uchafu wa kutosha.
Ndio maana watu wengi wanasita kuvaa helmet japo ni nzuri kwa usalama wa abiria.
Pamoja na baadhi ya wadau kuwagaia madereva wa bodaboda helmet mbilimbili tena bure kabisa bila malipo, ila suala la usafi wa hizo helmet hawalizingatii kabisa.
Unashika kuivaa unakuta inanuka jasho, mafuta ya nywele au ina weusi...ndii maana vichwa vyetu vinawaka mashetani kila siku kutokana na kuvaa magundu na mabalaa ya wengine.
Tunavagaa mikosi ya wengine.

Mada nzuri sana hii Mshana Jr
 
[emoji1545][emoji1545][emoji1545] niliwahi kuvaa helmet Moro pale Msamvu nilikuwa naenfa SUA kufika narudisha helmet kwa dereva chawa akanidondokea kifuani

Sent from my Infinix X627 using JamiiForums mobile app
 
Nakumbuka mwaka jana naendesha gari toka babati-Arusha ilikuwa usiku wa manane kuna eneo wanapaita mbuyu wa mjerumani nikaona mbele kama mita 100 watu kama wamama wamevaa kama mashuka na wamefunga vitambaa vyeupe kichwani nikaongeza taa full na kupunguza mwendo,,pale kuna kama konaa hivi gafla naifikia ile kona sioni chochote pale wala wale watu siwaoni,,aseh alafu kwenye gari nilikuwa peke ya ngu,,sikuelewa lile tukio kabisa
 
Back
Top Bottom