Joasi
JF-Expert Member
- Apr 3, 2014
- 766
- 674
So long mr mshana.Habarini wana jumuiya kubwa ya Jamii forum...Ni wakati sasa wa kuwa na mada yetu maalum kwa kaliba hii kubwa na pana yenye dhamana
Karibu tena.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
So long mr mshana.Habarini wana jumuiya kubwa ya Jamii forum...Ni wakati sasa wa kuwa na mada yetu maalum kwa kaliba hii kubwa na pana yenye dhamana
Huu mstari umebeba mafanikio ya maderevaNidhamu barabarani huepusha ajali nyingi
Inclusive na wa maguta pia..by the way je mnahitajika kuwa na leseni?Hivi sisi waendesha baiskeli sio madereva? Kiukweli tunanyanyasika sana barabarani!
[emoji1548][emoji1534][emoji1536][emoji1545]So long mr mshana.
Karibu tena.
Madereva tuko njiani tunakuja mzee. Please waitHadi comment ya 20 naona wadau wakipongezana tu hakuna dereva hata mmoja aliyefika.
Puma, cement kwa uchachemakampuni gani yanalipa vizuri kwa madereva wa malori yanayoenda nje ya nchi kwa hapa Tanzania?
[emoji3][emoji3][emoji3]sisi tuna mada yetuMkuu umetusahau sisi madereva wa Vyombo vyetu vya leseni za usiku tu ( Fisi na ungo) na sisi tuna changamoto zetu.
SAwa....asante kwa taarifa.
[emoji818][emoji1548][emoji1534][emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Vipi naww au sio dareva.Hadi comment ya 20 naona wadau wakipongezana tu hakuna dereva hata mmoja aliyefika.
Kuna link nimeweka hapo juu ichekiHabarini wakubwa naomba Connection mimi ni dereve nipo Arusha nina madaraja haya A,B,D na E nina uzoefu wa miaka 10 wa Safari ndefu na fupi
0712350159
Sawa kaka
mabumbe.com