Papy ndombe
JF-Expert Member
- Oct 24, 2020
- 3,761
- 4,535
Huwezi pata connection kama ujiconnect na watu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii story umeianzia katikati mbona?Huyo wa Fuso wangemkamata wamfunge kamba kwenye Fuso yake KILA abiria amlambe bakora tatu tatu Ili iwe funzo siku nyingine awe na adabu.
Madereva wa malori waelewa wakishaliona Basi tu kwa nyuma anakupisha anajua unawahi. Basi haliwezi kwenda mwendo wa lori Basi linatembea mwendo wa biashara sasa kama Fuso alimbania overtake wa Basi atembee Kama Fuso bakora ndo adhabu yake.
Kosa halijibiwi kwa kosa. Labda tu Kama una apply 11 satanic bible commandments
Sijaelewa...nimeuliza sijakosoaKosa halijibiwi kwa kosa. Labda tu Kama una apply 11 satanic bible commandments
Na mamlaka ziko kimya kabisa juu ya hili...Je kuna namna mamlaka zinafaidika kwa namna moja au nyingine? Rushwa kitengo cha usalama barabarani ni mfupa uliowashinda wote hata wale wanaojifanya ni wakali kabisaAhsante mkuu umekuja na mada adhimu sana imenigusa kumoyo mm nikiwa kama dereva
Changamoto ni nyingi askali wanawaza hela tu muda wote hasa kwa sisi madereva wa gari za mizigo so ni muhimu kuchenji buku buku weka kwnye dashboard kwa sababu ya hawa askari
Sent from my Nokia 2 using JamiiForums mobile app
Tuwape mda coz limetokea soon wanakusanya ushahidi kwanza labdaNa mamlaka ziko kimya kabisa juu ya hili...Je kuna namna mamlaka zinafaidika kwa namna moja au nyingine? Rushwa kitengo cha usalama barabarani ni mfupa uliowashinda wote hata wale wanaojifanya ni wakali kabisa
Sent from my Infinix X627 using JamiiForums mobile app
Unaongelea yale ma V8 ya million 470 kama la mkurugenzi wa Temeke na wa GeitaKuna wale unatembea speed 120kh anakupita kama mshale nao ni shida mkuu
Rais Tyndu Lissu anakusalimuSio hiyo tu bali hata vikali na mirungi. Wanafanya hivyo ili kupata vibe ya kusonga mbele bila kulala
Kumbe tukio lenyewe ni hiliHuyo wa Fuso wangemkamata wamfunge kamba kwenye Fuso yake KILA abiria amlambe bakora tatu tatu Ili iwe funzo siku nyingine awe na adabu.
Madereva wa malori waelewa wakishaliona Basi tu kwa nyuma anakupisha anajua unawahi. Basi haliwezi kwenda mwendo wa lori Basi linatembea mwendo wa biashara sasa kama Fuso alimbania overtake wa Basi atembee kama Fuso bakora ndo adhabu yake.
Hiyo avator pekee mtu hakupi conection.Habarini wakubwa naomba Connection mimi ni dereve nipo Arusha nina madaraja haya A,B,D na E nina uzoefu wa miaka 10 wa Safari ndefu na fupi
0712350159
Hapa uje ulete mrejeshoAsante kwa uzi mzuri.
Mm naomba mwenye connection au kujuana na wale ma agent au makampuni yanayotoa magari ya IT pale bandarini. Jana ni siku ya 3 naenda pale kwanzia asubuhi mpaka sita usiku bila mafanikio. Mm nidereva mwenye uzoefu wa miaka 10 kwa safari ndefu na fupi. Kazi yangu ya mwisho kufanya ni ya uber baada ya korona kuingia mwenye gari ali park gari yake na sasa kaitoa uber kabisa. Nategemea baada ya Noel kupita nirudi tena pale bandarini kujaribu tena. Asnte
Sawa tuombe mungu atujalie afya njema. Pia na sisi madereva tujitunze sikukuu hizi.Hapa uje ulete mrejesho