That Gentleman
JF-Expert Member
- Dec 16, 2016
- 2,215
- 3,678
Unaambiwa na konda, Afsa njoo ukae mbele...Coaster pia na gari nyingine zote ambazo mbele hazina pua bali ni flat show
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unaambiwa na konda, Afsa njoo ukae mbele...Coaster pia na gari nyingine zote ambazo mbele hazina pua bali ni flat show
2014 nilifanya kazi kati ya Kibaha na Chalinze yani hiyo barabara niliipita mara mbili kwa siku.. Kwa miezi 12 kama hakuna siku nilikutana na ajali basi hazizidi wiki mbiliKatika barabara inahitaji umakini basi ni Dar hadi Morogoro, na kama hauna uzoefu ni bora ukatoka Dar saa nane usiku ili ufike Morogoro mapema kabla barabara haijawa busy sana.
Hiyo truck ni powerful sawa! Lakini hiyo cabin haikuwa designed kupita maeneo hayo..
Hlo tope sio pw
Kwa hiyo dah rough road unaingizaje heavy wait hii tena packed
Ndo maana Matajiri wengi Wa magari ni makatili, Mjinga akiingiza Gari yangu mazingira kama haya lazima nimlambe makofi tu. Afu litalalamika limeonewa
Wapost memes wakiona hii picha watakuja na meme moja Kali Sana [emoji28]
Wewe ulipokuwa unapokea hela bila kudadisi hali ya njia, ulitegemea gari ikifika hapo ivukeje?Ndo maana Matajiri wengi Wa magari ni makatili, Mjinga akiingiza Gari yangu mazingira kama haya lazima nimlambe makofi tu. Afu litalalamika limeonewa