Mada Maalum ya Madereva: Changamoto, Uzoefu, Vituko na Connections

Namshukuru Mungu Kwa safari ya Jana kutoka Dar to Dodoma, LAKINI....

Tulitoka Manzese saa sita mchana kwa basi ambalo lilitakiwa kutushusha Mbezi stand kuu kwakua basi ambalo ilitakiwa tusafiri nalo lilikua hapo.

Tulifika salama na Kila abiria kukaa kwenye siti yake tayari kwa safari ya Dodoma, tulianza safari na Dereva tuliyetoka nae Manzese kwa lile basi lingine, yaani tulihamia nae kwenye basi hili.

Tulipofika kwa Matthias Kibaha basi letu lilisimama na kubadilisha dereva kutoka basi la Kampuni Ile Ile lililokua limetokea Dodoma to Dar, kwa maneno mengine yule dereva alirudi Dar na huyu aliyekuwa anaenda Dar tukaanza safari ya kurudi nae Dodoma.

Aliendesha kwa umakini na ustaraabu sana Hadi tukafika Moro na kupata mapumziko muda wa saa kumi na Moja jioni na safari ikaendelea dakika chache baadae.

Baada ya kuiacha Moro wakati Giza likiwa limeingia nilianza ku-notice uendeshaji usio wa kawaida wa dereva, mara zote alikua akipishana na magari ambayo kwa jioni/usiku ule mengi yalikua malori alikua akiyafuata mnooooo kwenye ""site" Yao na either kuwashiwa taa za tahadhari au la kukwepa kwa kustuka....

Hali hii iliendelea kwa muda mrefu kidogo na Hali ilizidi kuwa mbaya sana kwani Kuna nyakati nusura tugonge magari kadhaa....

Tukiwa abiria wanne yaani zile seat za mbele tukapeana signal kuwa "something was wrong" basi nikatoka kwenye seat yangu nikamsogelea dereva na kumjulisha kuwa alikua "amechoka" na udereva wa aina Ile ulikua hatari kwetu sote, hakua tayari kukubali na akadai kuwa "taa za gari zilikua hafifu" (haikua kweli though) hivyo nilirejea kwenye seat yangu na kuendelea kumuomba MUNGU tu.

Tulifika Dumila kwa shida sana kwa kweli, pale Dumila kuna Kingo za barabara zimejengwa Ili kutenganisha barabara upande mmoja kwa wale wanaoingia upande wa pili wa barabara, ghafla alienda akapanda zile Kingo na kuwafanya abiria wote wastuke. Alilimudu basi na kulirudisha njiani maana zile Kingo hazikua kubwa sana kwahio abiria walihisi amepanda tuta (speed hump) vibaya, kumbe dereva alishahama njia Kabisa.

Bahati NZURI kulikua na abiria anashukia hapo kwahio akasimama kwa muda na tukamsihi apumzike, akagoma kwa kupata support ya abiria ambao hawakujua Hali Iliyokua inaendelea.

Tulifika salama Nane nane na baada ya kushusha abiria tukawa tunaelekea CBE ambapo alipanda mtu ambaye nilikuja kugundua kuwa alikua dereva wa basi wa kampuni nyingine.

Hapa dereva wa Gari tuliyopanda akaanza kumweleza dereva mwenzie namna alivyochoka kwamba alikuwa Njombe to Dar then Dar to Singida Kisha Dodoma to Dar, kabla hajafika Dar ndio akapewa basi letu to Dodoma na kesho Alfajiri (asubuhi ya leo) alitakiwa kuondoka kwenda Dar (17/06/2022).…

Naamini wamefika salama kwa msaada wa Mungu
eli
 
Habari Mshana Jr hivi cheti cha basic driving unakiweka katika sehemu ipi kwenye ajira portal katika kipengele cha course name maana kuna driving license na professional driving tu sioni basic
 
Duh
 
WAENDESHA BAISKELI WAUAWE TU! [emoji706][emoji706]
Baiskeli zina ua polepole uchumi wa Dunia.
Mfanyakazi mmoja wa benki aliwafanya wanauchumi wafikirie aliposema maneno haya:
"Waendesha baiskeli ni janga kwa uchumi wa nchi: hawanunui magari na wala hawakopi pesa kununua, hakuna anayelipa bima.Hawanunui mafuta, Hawalipii huduma za gari, na hakuna matengenezo yanayohitajika. Hawalipii maegesho. Hawasababishi ajali kubwa. Uwepo wao unafanya kusiwepo haja ya barabara nyingi.
Na hawanenepi hawa watu [emoji706][emoji706].
Watu wenye afya bora kama hawa, hawafai kwenye uchumi.Hawanunui dawa. Hawaendi hospitalini wala kuonana na madaktari.
Hawaongezi chochote katika Pato la Taifa.Hebu fikiri tu, Kila mgahawa mpya wa KFC unazalisha ajira 30 zaidi, madaktari wa moyo 10, madaktari wa meno 10, wataalam wa lishe na chakula 10 - achilia mbali watu wanaofanya kazi katika mgahawa wenyewe."
Kipi muhimu: baiskeli au KFC?.Na hawa watembea kwa miguu ndio hawafai kabisa. Yani hawanunui hata baiskeli![emoji23]
 
🤣🤣🤣😂😂😂 aisee!!!
 
FB_IMG_1657091767067.jpg
 
Mikanda inayofunga mizigo iliachia au kukatika Mzigo ukavamia kwenye Cabin*

#MaishaYaBarabarani....
FB_IMG_1657613710283.jpg
FB_IMG_1657613704384.jpg
 
Back
Top Bottom