Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

Ulaji wake wa mafuta ni mkubwa kidogo tofauti na crown ila kwenye speed utaikubali
 
Toyota Ist inapoendeshwa ikipiga bamz hasa zile bamz ndogo-ndogo ikiwa speed, nasikia kelele(kelele kama za upepo unatoka) kwenye tairi la upande wa dreva mbele, kisha gari inawasha taa ya check Engine na inazima. Ukiwasha inaendelea. Baada ya muda inatokea tena. Shida ni nina wakuu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…