Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

eliji

Member
Joined
Mar 19, 2020
Posts
6
Reaction score
8
Habari wakuu, Naomba ushauri Wa Mark 11 grande GX 110 wanja yenye engine ya 1G beams 2000 ulaji wa mafuta na pia kama mtu anayo ya 2004 namba D iliyo nyooka tuwasiliane
IMG_20230806_144530.jpg
 
Ulaji wake wa mafuta ni mkubwa kidogo tofauti na crown ila kwenye speed utaikubali
 
Toyota Ist inapoendeshwa ikipiga bamz hasa zile bamz ndogo-ndogo ikiwa speed, nasikia kelele(kelele kama za upepo unatoka) kwenye tairi la upande wa dreva mbele, kisha gari inawasha taa ya check Engine na inazima. Ukiwasha inaendelea. Baada ya muda inatokea tena. Shida ni nina wakuu?
 
Back
Top Bottom