Mkuu nashukuru kwa kunijuza bei ya turbo,lakini hebu jikite kwenye maswali yangu matatu halo juu utakuwa umenisaidia sana.
Cc:mshana jr,RRondo na wengineo mkuje huku
mkuu tunaitaji msaada wenu kati ya hizi gar mbili, mazda rx8 na toyota celica, katika mafuta na spea. Natanguliza shukranikumekuwa na mada nyingi kuhusu mambo yote yahusuyo magari, nikaona basi na sisi tuwe na uzi huu ambapo habari zote zihusuzo magari kuanzia kuchagua, kuagiza, kuuza, kubadili nyaraka, matengenezo utunzaji na kadhalika.
Watu wengi wametapeliwa kwenye mauzo na manunuzi, kwenye nyaraka, kwenye vipuri kwenye matengenezo na hata matumizi.
Kwa uzi huu basi kila mwenye ujuzi, uzoefu, ushauri au mwenye maswali na tatizo lolote linalohusiana na magari hapa ndio pawe uwanja wake
karibuni sana
ushauri: Jinsi ya kununua gari iliotumika ndani ya tanzania
View attachment 225786
Kazi kubwa ya turbo ni kuongeza nguvu na mwendo kasi wa gari turbo ikifunguka mlimani inatembea sana. Turbo inamhimu sana kwenye gari za diesel turbo ikifa mlimani hata mwendesha baiskeli anakupita.
Jamani kwa mwenye kujua ni wapi nitaweza pata gari used ya kununua! aina ni Rav4,Escudo milango 5(auto/manual) Noah old model na nyinginezo! karibuni!
Jamani kwa mwenye kujua ni wapi nitaweza pata gari used ya kununua! aina ni Rav4,Escudo milango 5(auto/manual) Noah old model na nyinginezo! karibuni!
wakuu ningependa kujua kuhusu
kupatikana kwa spares za gari
aina ya Honda fit umekaaje
bongo kwani nimetokea
kuipenda nisije nikanunua
ikawa majanga pale spare parts
sake zitakapo hitajika.
Kiukweli spare zake sio nyingi but zinapatikana...
Ahsante mkuu nimetafuta fundi akafunua head cylinder akaichonga pia kuna ile ckumbuki jina lake ina wembamba wa kadi ila ina matundu kama manne inakaa katikati inaozuia maji yasiingie kwenye piston ilikua imekatika so maji yakawa yanaingia
Kiukweli spare zake sio nyingi but zinapatikana...
Ahsante mkuu exactly ndio hiyo gasket niliyoisahau, samahan tena hiyo kit inapatkana wapi na shingap kigar changu ni duet 1999 manual transmissionNunua Over-haul kit ya gari yako utakuta takataka zote ziko humo, hiyo ambayo huikumbuki inaitwa Cylindr head gasket. Kwenye Overhaul kit kuna kila kitu na zipo kit za ubora mbalimbali maana wachina wanahudumia makabwela kwa budget zao.