Hii expire date vip? Nimetoa spre tyre niangalie isije expire. Nimekuta View attachment 260004 kama hiyo picha hapo. Hii ni brand new Bridgestone iliyokuja na gari ya mwaka 2006. Je hiyo 3205 ni kuwa iliexpire 2005 wiki ya 32 ama ni 2015 wiki ya 32?

Asante sana, duh! Nkajua naeza iuza! Maana bei yake 420,000 kwa tairi moja (brand ya Bridgestone)
X-trail niliwahi kuzisifia kwa uzoefu wangu lakini nikaja kugundua kuwa hapo Nissan alichemka hata Serena pia but all in all gari ni utunzaji
Wakuu heshima zenu. Kwa wale ambao mnamiliki au mmeshawahi kutumia volkswagen touarage can you share your experience especially on aspects such as confortability, availability of spare parts.....fuel consumption and in general....value for money. I would love to hear from you guys with experience....before I decide to import one. For sure it's my dream car and I would love to have it. Mwenye uzoefu Tafadhali tupia neno.
Gari ninayoihitaji ni VW touarage. Aside mtu na ideas zake kuniambia ni expensive nikanunue Toyota. Toyota is a good brand lakini nimejipima na kujitathmini naona naweza kumiliki hii VW Touarage..so nahitaji Msaada wa mawazo based on this car. Si vinginevyo.
asanteni.

chukua mashine hio, kama hela ya wese haikusumbui chukua 3.2V6 Petrol kwa perfomance and cmfortability! mjerumani huwa haongopi! Ukitaka economy kuna engine ya 2.5TDi ila hii haina nguvu,labda kidogo 3.0TDi. Jipange kidogo kwenye maintanance
oil filter tzs 35000-40000
air filter tzs 50000-80000
diesel/petrol filter 90000-150000
cabin filter tzs 60000-90000
engine oil tzs 20000-50000/litre
atf tzs 35000-80000/litre
spark plugs tzs 30000-60000 each
brake pads 250000-400000/axle
hivyo ni vitu vya service[hubadili vyote kila service]
ukitaka spare PM me.
Wakuu mimi nina forester 2002, second generation, ina turbo...ulaji wake ni km 5.3 kwa Lita, hivi ndio kawaida ya haya magari? Au Kuna tatizo mahali? Msaada tafadhali!
Mmh sidhani mbona iko juu sana engine capacity ni ngapi?
Kuna shida mahali ulaji huo kwa cc hizo ni beyond normal fuel consumption
Hakikisha ni mtu mahiri na unayemwamini