Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

Hii expire date vip? Nimetoa spre tyre niangalie isije expire. Nimekuta View attachment 260004 kama hiyo picha hapo. Hii ni brand new Bridgestone iliyokuja na gari ya mwaka 2006. Je hiyo 3205 ni kuwa iliexpire 2005 wiki ya 32 ama ni 2015 wiki ya 32?

Tyre ni ya 2005 wk ya 32 lakini gari ilitoka 2006 sio tatizo kwakuwa gari inapokuwa tayari huagiza tairi toka kwa dealer aliye na mkataba naye
 
Hii expire date vip? Nimetoa spre tyre niangalie isije expire. Nimekuta View attachment 260004 kama hiyo picha hapo. Hii ni brand new Bridgestone iliyokuja na gari ya mwaka 2006. Je hiyo 3205 ni kuwa iliexpire 2005 wiki ya 32 ama ni 2015 wiki ya 32?

Hiyo tairi imesha expire tayari kwa sababu imetengenezwa miaka 10 iliyopita, na wanasema tairi inakuwa haifai kwa matumizi kama itakaa miaka 4 baada ya kutengenezwa hata kama itakuwa haijatumika na kashata bado zipo ila itakuwa haifai.Ila kwa sababu ni spare sio mbaya inakusaidia pale utakapo pata pancha kukusogeza hadi eneo utakalo ziba.
 
Asante sana, duh! Nkajua naeza iuza! Maana bei yake 420,000 kwa tairi moja (brand ya Bridgestone)
 
Pole ila.ndo.ivo ime eksipaya..hahahaa unaeza kuuza kwa mtu aisyejua after all wengi hawajuagi
 
X-trail niliwahi kuzisifia kwa uzoefu wangu lakini nikaja kugundua kuwa hapo Nissan alichemka hata Serena pia but all in all gari ni utunzaji

Eti mkuu, unaweza kudokeza japo kidogo Nissan walichemka nini kwenye x-trail. Maana naziona nyingi sana road siku hizi
 
Wakuu heshima zenu. Kwa wale ambao mnamiliki au mmeshawahi kutumia volkswagen touarage can you share your experience especially on aspects such as confortability, availability of spare parts.....fuel consumption and in general....value for money. I would love to hear from you guys with experience....before I decide to import one. For sure it's my dream car and I would love to have it. Mwenye uzoefu Tafadhali tupia neno.

Gari ninayoihitaji ni VW touarage. Aside mtu na ideas zake kuniambia ni expensive nikanunue Toyota. Toyota is a good brand lakini nimejipima na kujitathmini naona naweza kumiliki hii VW Touarage..so nahitaji Msaada wa mawazo based on this car. Si vinginevyo.

asanteni.
 
Confortability is 88%, stability is 90% , ina ushirikiano mzuri, fuel consumption goes crazy if you push it to the maximun let's say you cruising at 220km per hour, the major problem is spare parts, are gigantic expensive
 
Toyota no unapenda kwenda garage sana ndio nunua Toyota lakini ukitaka kudumu na kari bila tatizo hiyo ndio gari kua na friend UK tu spartparty kibao zipo
 
Wakuu heshima zenu. Kwa wale ambao mnamiliki au mmeshawahi kutumia volkswagen touarage can you share your experience especially on aspects such as confortability, availability of spare parts.....fuel consumption and in general....value for money. I would love to hear from you guys with experience....before I decide to import one. For sure it's my dream car and I would love to have it. Mwenye uzoefu Tafadhali tupia neno.

Gari ninayoihitaji ni VW touarage. Aside mtu na ideas zake kuniambia ni expensive nikanunue Toyota. Toyota is a good brand lakini nimejipima na kujitathmini naona naweza kumiliki hii VW Touarage..so nahitaji Msaada wa mawazo based on this car. Si vinginevyo.

asanteni.

Go for it...!it is unique beast mambo ya parts yasikupe headache dunia imekuwa kijiji sasa
 
Wakuu heshima zenu. Kwa wale ambao mnamiliki au mmeshawahi kutumia volkswagen touarage can you share your experience especially on aspects such as confortability, availability of spare parts.....fuel consumption and in general....value for money. I would love to hear from you guys with experience....before I decide to import one. For sure it's my dream car and I would love to have it. Mwenye uzoefu Tafadhali tupia neno.

Gari ninayoihitaji ni VW touarage. Aside mtu na ideas zake kuniambia ni expensive nikanunue Toyota. Toyota is a good brand lakini nimejipima na kujitathmini naona naweza kumiliki hii VW Touarage..so nahitaji Msaada wa mawazo based on this car. Si vinginevyo.

asanteni.

chukua mashine hio, kama hela ya wese haikusumbui chukua 3.2V6 Petrol kwa perfomance and cmfortability! mjerumani huwa haongopi! Ukitaka economy kuna engine ya 2.5TDi ila hii haina nguvu,labda kidogo 3.0TDi. Jipange kidogo kwenye maintanance

oil filter tzs 35000-40000
air filter tzs 50000-80000
diesel/petrol filter 90000-150000
cabin filter tzs 60000-90000
engine oil tzs 20000-50000/litre
atf tzs 35000-80000/litre
spark plugs tzs 30000-60000 each
brake pads 250000-400000/axle

hivyo ni vitu vya service[hubadili vyote kila service]
ukitaka spare PM me.
 
Duu kizuri gharama lakini uhakika
 
Wakuu mimi nina forester 2002, second generation, ina turbo...ulaji wake ni km 5.3 kwa Lita, hivi ndio kawaida ya haya magari? Au Kuna tatizo mahali? Msaada tafadhali!
 
Mmh sidhani mbona iko juu sana engine capacity ni ngapi?
 
Back
Top Bottom