Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

Msaada jaman
toyota vista inazima yenyewe ila kwenye dashboard panaendelea kuwaka..
 
Mkuu mshana naomba uzoefu wako kwenye Toyota Voltz ubors wake spare parts zake na fuel consumption.
 
Mkuu mshana naomba uzoefu wako kwenye Toyota Voltz ubors wake spare parts zake na fuel consumption.

Kwa mujibu wa mdau mmoja hapa ni gari nzuri kwenye engine lakini body ni jepesi mno
 
Duu kizuri gharama lakini uhakika
Safi sana mkuu. Unajua wengi wetu tunachangamoto ya kuwa na mawazo ya kimasikini kila Siku. Buying VW Kama hiyo doesn't mean one is reach(whatever you define it) lakini it's simply kwamba we have to dream na kufanya priorities. Hivi umeshawahi kujiuliza how much we burn kwenye pombe.......kwa wale tunaokunywa? It's possible jamaa kapack Vitz nje....lakini daily lazima ateketeze laki kwenye bia...so kupanga ni kuchagua.
 
Asante sana mkuu. Ngoja nijipinde...maisha ni haya haya.....certainly nitakuchek when I need your assistance. Lazima tubadilike utaratibu wa kupanda mabasi kwenda kwetu Mikoani lazima uishe.
 
Ukitaka hii Gari, tembelea Autocom Japan used car exporter QUALITY Center, Nyerere Road Dar es salaam almaarufu kama uchumi supermarket or 📞 0767328063 for more information.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu nina carina ed lakin ninapowasha gari ina tabia ya kutetemeka shida inaweza kua nini mkuu halafu ikiwaka inatoa moshi mwingi sana mweupe kwa muda shida hyo ni nini mkuu
 
Mkuu nina carina ed lakin ninapowasha gari ina tabia ya kutetemeka shida inaweza kua nini mkuu halafu ikiwaka inatoa moshi mwingi sana mweupe kwa muda shida hyo ni nini mkuu

Hiyo itakuwa no A kwa vyovyote inahitaji kufanyiwa engine overhaul
 
Ni kweli mkuu ni no A kwa uzoefu gharama zake zinaweza kukost ka shs ngapi ili niwe na idea mkuu
 
Ni kweli mkuu ni no A kwa uzoefu gharama zake zinaweza kukost ka shs ngapi ili niwe na idea mkuu

Kwa ushauri wangu tafuta engine nyingine used kwakuwa overhaul ya uhakika si chini ya laki sita
 
Ni gari nzuri sana kwa shughuli ndogo ndogo na ofisini tofauti na hapo utajuta kuijua Passo

Ahsante mkuu,natumia subaru legacy twin turbo,lishaanza kusumbua kimtindo,kuna mdosi kaniwekea pesa kidogo na passo namba c,ili nimuachie,kichwa kinaniuma kwa kweli
 
Ahsante mkuu,natumia subaru legacy twin turbo,lishaanza kusumbua kimtindo,kuna mdosi kaniwekea pesa kidogo na passo namba c,ili nimuachie,kichwa kinaniuma kwa kweli

Chukua halafu nawe iweke sokoni usiitumie zaidi ya mwaka kwa ushauri wangu ni heri upate Daihatsu kid Duet corolla au Ti yani hizi za misele ya kawaida
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…