Sijawahi kusikia gari aina ya Toyota Bighorn labda unaongelea Isuzu Bighorn. Kifupi hiyo gari haifai kwa mtu mwenye kipato cha kawaida kwani matumizi yake ya mafuta ni makubwa na spare parts ni adimu sana. Pia ukitaka kuiuza ni ishu.
Hizi grand vitara zina matoleo yake, na kila toleo lina improvements za toleo lililopita, sasa anataka ushauri wa Grand vitara kwa ujumla wake au anataka toleo Fulani tu? Au labda tuseme Mwaka Fulani mpaka Mwaka fulani!!??
Land rover wana, wawakilishi wao CMC kwenye miji mikubwa ambapo huwezi kukosa spare parts. Kuhusu unywaji wa mafuta wa Freelander no comments lkn kama no TDi engine, unywaji wa mafuta haipungui km 9 kwa Lita, inaweza kwenfa hadi km 12.
Vv

Wanatazamana na maktaba kuu.kwa mfano kwa dar es salaam wanapatikana wapi hao wawakilishi wa landrover freelander?na je pia hapo naweza kupata mafundi wa uhakika?maana ilizima tu ma kuanzi hapo haijawaka ipo tu.
Kuhusu FreeLander yako ni inbox 0715421700
Always gari ya diff ina nguvu zaidi