Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

Sijawahi kusikia gari aina ya Toyota Bighorn labda unaongelea Isuzu Bighorn. Kifupi hiyo gari haifai kwa mtu mwenye kipato cha kawaida kwani matumizi yake ya mafuta ni makubwa na spare parts ni adimu sana. Pia ukitaka kuiuza ni ishu.
 
Mkuu nakubaliana nawe upande wa spare kwa kiasi fulani ni gharama lakini zipo. Upande wa mafuta zinatumia vizuri sana kama ukipata ya hali nzuri. Lita moja diesel inaweza kwenda mpaka km 19 katika wastani wa 60 km/hour.
mpendachake pitia hapa uone specifications kwa mwaka wa gari, CC na vinginevyo Isuzu Bighorn Pictures - Car Pictures Gallery
 
Last edited by a moderator:
Hizi grand vitara zina matoleo yake, na kila toleo lina improvements za toleo lililopita, sasa anataka ushauri wa Grand vitara kwa ujumla wake au anataka toleo Fulani tu? Au labda tuseme Mwaka Fulani mpaka Mwaka fulani!!??
 
Hizi za 2005?
 
Habar wana Jf! Kama kuna fundi,mfanyabiashara wa magari au yoyote yule mwenye uzoefu wa hizo gar hapo juu Naomba anisaidie mambo haya mchache. 1.matatizo sugu ya hizo gar. 2. Upatikanaji wa vipuri. 3. Matumiz ya mafuta. 4. Na kama wana matawi hapa Dar. 5. Na mengine yatakayowezekana kuongezwa. Natanguliza shkran.
 
Land rover wana, wawakilishi wao CMC kwenye miji mikubwa ambapo huwezi kukosa spare parts. Kuhusu unywaji wa mafuta wa Freelander no comments lkn kama no TDi engine, unywaji wa mafuta haipungui km 9 kwa Lita, inaweza kwenfa hadi km 12.

Vv
 
Heshima kwako mkuu.
 
kwa mfano kwa dar es salaam wanapatikana wapi hao wawakilishi wa landrover freelander?na je pia hapo naweza kupata mafundi wa uhakika?maana ilizima tu ma kuanzi hapo haijawaka ipo tu.
 
Mkuu mshana jr na wengine naomba kuuliza, hivi magari yanayokuwaga na TV ni kwamba zinakuwa zimetengenezwa hivyo au watu wanafunga tu kulingana na mtu apendavyo?
 
Last edited by a moderator:
kwa mfano kwa dar es salaam wanapatikana wapi hao wawakilishi wa landrover freelander?na je pia hapo naweza kupata mafundi wa uhakika?maana ilizima tu ma kuanzi hapo haijawaka ipo tu.
Wanatazamana na maktaba kuu.
 
Mkuu mshana jr hiv ipi gari yenye nguvu kati ya hizi zenye diff na zenye front wheel maana
Nafikiria kununua gari kati ya suzuki swift yenye diff au toyota vits ambayo ni front wheel.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu mshana jr na wengine naomba kuuliza, hivi magari yanayokuwaga na TV ni kwamba zinakuwa zimetengenezwa hivyo au watu wanafunga tu kulingana na mtu apendavyo?
mito tv ni kitu cha ziada tu kuna gari ambazo zina hiyo option tangu kiwandani lakini nyingine ni modification
 
Last edited by a moderator:
Mkuu mshana jr hiv ipi gari yenye nguvu kati ya hizi zenye diff na zenye front wheel maana
Nafikiria kununua gari kati ya suzuki swift yenye diff au toyota vits ambayo ni front wheel.

Always gari ya diff ina nguvu zaidi
 
Last edited by a moderator:
TV ni modification, magari yanayotoka na TV kiwandani ukiweka gia tu tayari kwa safari TV inazima, kwa Toyota zote original TV inaweza kuwaka tu lakini hutapata Chanel hata moja mpaka uweke parking brake( mtaani inaitwa hand brake), kwamaana Hiyo huwezi juendesha gari na wakati huohuo unaangalia TV
 
Back
Top Bottom