Wakuu naombeni ushauri cha kufanya
Fungua za gari yangu ghafla zimegoma kufunga kwa remote, yaani badala yake nafunga manually sasa, nahisi betri sijui imeisha (ila sina uhakika kama inakuwa na betri ndani) maana nikibonyeza kitufe cha kufunga gari hakuna response yeyote. Sijui nifanyeje wakuu ili niweze tena kufunga kwa remote?
cc mshana jr
Most likely ni baterry kwakuwa hujawahi kubadili tangu gari iingie nchini na huwezi jua huko ilikotoka ilitumika muda gani
Best unatumia gari miaka mi5? Umefunga nalo ndoa au?Na mimi nahisi ni batri cozi nimeitumia for almost 5 years ikifanya kazi vizuri tu. Vipi betri zake zinapatikana ktk maduka ya spea za magari au?
Best unatumia gari miaka mi5? Umefunga nalo ndoa au?
Teh Teh
Basi wewe mtunzaji mzuri eeh? Hongera kwa hilo.Hahaa best umenibamba kiutamu!! ujue imebidi nicheke kwanza!!
Nilinunua almost brand new best, lilikuwa na registration ya only 1 year long, mileage below 10,000KM, hata leo ukiliona huwezi amini, liko njema balaa, na bado sina mpango wa kuliuza, hadi lifike age limit iliyotajwa na TRA (8-10 yrs)
Basi wewe mtunzaji mzuri eeh? Hongera kwa hilo.
Angalia lakini lisije kosa hata nusu ya ile pesa uliyonunulia baada ya hiyo age limit.
Halafu mbona kama unafichaficha kusema ni gari gani?
Ni Range Rover nini?
Hahahaaaaa, nimekusoma best usijali.Hahaaa we best weweeee kwa uchokonozi hujambo, khaaa!!! naomba nisitaje bana
Inahimili mpaka km 150000 siku ikakata na gari itasimama hapohapo vema kubadili ukishaona taa ya check engine inawaka na kuzima
Sielewi sana lakini naweza kukuelewesha...........piston rings ni tofauti kabisa na nozzle..........halafu idadi ya nozzle inategemea na gari yako ni ya cylinder ngapi.........na nozzle moja ikifa......inaweza kuleta kwikwi kwenye gari yako.........
eti Mshana Jr...... MANI....... RRONDO......... OLESAIDIMU......... Kaizer.......ni hivyo...........au nimechemka.........?....
Habari wana JM,
mwenye uzoefu na magari naomba anifahamishe gharama zifuatazo:
1.service ya gari(aanze na gearbox n engine) na nyingine pia
2.Fire extinguisher
3.Triangle
4.ushauri wa insurance
Aina ya gari ni mazda 2005/7.used kutoka Japan
Ahsanteni.
Habari wana JM,
mwenye uzoefu na magari naomba anifahamishe gharama zifuatazo:
1.service ya gari(aanze na gearbox n engine) na nyingine pia
2.Fire extinguisher
3.Triangle
4.ushauri wa insurance
Aina ya gari ni mazda 2005/7.used kutoka Japan
Ahsanteni.
mazda demio 2005/7
kwa mfano kwa dar es salaam wanapatikana wapi hao wawakilishi wa landrover freelander?na je pia hapo naweza kupata mafundi wa uhakika?maana ilizima tu ma kuanzi hapo haijawaka ipo tu.
Wadugu...naomba kujua....nahitaji kujiunga na chama cha waendesha passo mjini...sasa kuna za cc990...cc 1000 na cc 1290....naomba msaada wa kujuzwa injin ipi bora katika hizi??! Asante