Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 301,577
- 754,412
- Thread starter
- #2,561
Wakuu naombeni ushauri cha kufanya
Fungua za gari yangu ghafla zimegoma kufunga kwa remote, yaani badala yake nafunga manually sasa, nahisi betri sijui imeisha (ila sina uhakika kama inakuwa na betri ndani) maana nikibonyeza kitufe cha kufunga gari hakuna response yeyote. Sijui nifanyeje wakuu ili niweze tena kufunga kwa remote?
cc mshana jr
Most likely ni baterry kwakuwa hujawahi kubadili tangu gari iingie nchini na huwezi jua huko ilikotoka ilitumika muda gani
Last edited by a moderator: