Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Habari za asubuhi wadau....
Msaada, nina spacio nikiwa naongeza speed toka 30-40 km/h gari inatetemeka fulani hivi ila ikifika 40 na kuendelea inatulia. Huko kutetemeka hutokea tu kati ya 30 to 40. Hivi tatizo linaweza kua ni nini? Na nini tiba yake?
Stabiliser links zimechoka sometimes hata ball joints pia
Stabiliser links zimechoka sometimes hata ball joints pia
Onana na fundi athibitishe kwanza kisha badili vilivyochoka
Naomba kujuzwa wataalam inashauriwa ninunue gari iliyotembea angalau kilometres ngapi, maana nimepita kwenye mtandao nimekuta kuna magari yana km laki 3 yanauzwa. Ushauri wenu tafadhari n.b hiyo n gari Dogo la kutembelea
Sijui nipo nyuma ya wakati..... Naomba kujuzwa matumizi....maana na care ya airbag kwenye gari
[MENTION=73758]/MENTION] , [MENTION=186179][/MENTION]
Copied