wadau naomba msaada kabla sijafanya maamuzi haya.Natamani kununua gari aina ya Honda CRV ila sijui km ni kimeo au lah.tafadhali km unalijua vizuri ama ulisha tumia ama unatumia maeneo muhimu ni spare parts na fuel consumption .
Nzuri sana hasa ukipata RD5, inakamata road vizuri ngumu fuel consuption ni nzuri ndani kuna nafasi ya kutosha pia
Kwa gari ndogo ila kwa four wheel ni 35/40
Kwa nini kwenye uwekaji wa upepo mbele unawekwa mdogo nyuma mwingi, ukizingatia mbele ndio kuna mzigo mkubwa wa engine na gear box?
Pia kwa nini kwenye 4W uwekwe 35/40, ina maana uwekaji upepo wa gari za 4W na 2W ni tofauti?
Mi natumia gari yenye full time 4WD, na mara nyingi naweka upepo sawa 30 au 35 kwa tairi zote.
Mshana; gari yangu Mitsubishi lancer, tatizo la kutokuwa na nguvu hadi Gari Ipate momentum ya kutosha...je ni tatizo; cc 1598: automatic, speed 220; rpm 8
Ni kweli haikuwa designed kutumia miguu yote miwili lakini kama utajaribu na ukazoea nakuhakikishia hutoacha kutumia miguu yote miwili unapoendesha hasa maeneo ya mjini ambapo magari ni mengi na vurugu kibao barabarani, kuchomekeana n.k. Ni kama anavyosema Mshana utaepuka ajali kibao.Hahaha ndo maana wanakushangaaa kaka haikiwa designed kwa miguu miwili ndo.maana kuna foot rest pale.. sema ni namna ulivyotune ubongo wako
Kuna jamaa yangu ana Rav4 alikuwa na case inayotaka kufanana na yako, ya kwake ilikuwa inaishia speed 80-90km/h hata akanyage vipi mafuta. Kuna fundi alimtengenezea kwa kuyaondoa mavitu flani kwenye muffler wanayaita jina kama "masega" yalikuwa yameanza kuziba.Mshana; gari yangu Mitsubishi lancer, tatizo la kutokuwa na nguvu hadi Gari Ipate momentum ya kutosha...je ni tatizo; cc 1598: automatic, speed 220; rpm 8
Kuna jamaa yangu ana Rav4 alikuwa na case inayotaka kufanana na yako, ya kwake ilikuwa inaishia speed 80-90km/h hata akanyage vipi mafuta. Kuna fundi alimtengenezea kwa kuyaondoa mavitu flani kwenye muffler wanayaita jina kama "masega" yalikuwa yameanza kuziba.
Ulishawahi kufanya gearbox service? Achana na kubadili hydraulic kuna service ya gearbox
Most likely tatizo litakuwa hapo
Mkuu Mshana jr na mwingine yoyote anayejua/aliye na contacts za wataalam wa kufanya service ya mabasi ya zhong tong kwa hapa nchini nisaidieni. Kuna jamaa yangu yupo nje ya Nchi anahitaji na mimi sina ufahamu wa hayo mambo, msaada.
Shekilango Double star garage
Please mshana jr, do me simple favour...huyu jamaa yupo nje ya nchi, Botswana, anahitaji contacts awasiliane na hao mafundi.