Fielder ni gari ngumu na kwakuwa tayari unatumia corrola van basi fielder itakufaa sana kwa kila kitu
Alteza
Airbags hukusaidia wakati wa ajali tu kulinda usipoteze maisha na ikibidi usipate majeraha kabisa, lifespan ya airbags ni miaka kumi baada ya hapo kiwango cha utendaji kazi hupungua, kuna jinsi ya kuzifanyia service lakini sidhani kama hapa kwetu kuna mafundi wanaweza au kujua hilo
ngoja ninunue na mm gari mje mnielekeze matatizo
Preta Inasumbua engine 1GFE nifunge ipi?
Ngoja nimuite fundi wa kitengo cha engine...... Mshana Jr.......mimi kitengo changu ni shokomzoba na brake pads........
Yes hapo sasaa ni good asee ila kule ni mwendo wa story tuu Habari za ndinga mpaka yahalibikeee but ur welcome
collora new model sh ngapi
Leo Rav 4 yangu ACA 21 Kilitime imenifanyia vituko,nikianza kuondoka gari inasita kama vile iko kwenye handbrake lakini sivyo na baadaye inakurupika.Kila unapotaka kuongeza mwendo gari inakuwa nzito sana,naombeni ushauri!
Ok ukipata mtu anashida ya plate number inamsumbua nishitue....