mr. avatar
Member
- Jun 24, 2015
- 6
- 0
Mkuu.....collora ipo nissan.......mitsubishi......au subaru......?.......
Not less than usd22,600
Fundi mkuu wa engine Mshana Jr........ kuna li D4 linasumbua hapa.......hebu fanya analysis...........
Leo Rav 4 yangu ACA 21 Kilitime imenifanyia vituko,nikianza kuondoka gari inasita kama vile iko kwenye handbrake lakini sivyo na baadaye inakurupika.Kila unapotaka kuongeza mwendo gari inakuwa nzito sana,naombeni ushauri!
mkuu inayotembea sisi wengine tunapenda vizur usawa mdogo budget ya around mil 6 inayotembea inapatikana ? ni yapi madhara yake na faida yake? Tafadhari ushauri nilikiipata nizingatie nini?
Ni vizur ku reply ili nione majibu ansanteni wakuu
Kwanza tuelewe.......unapenda gari gani......Ili usaidiwe.......maana sasa unapouliza madhara na faida......unakua unamaanisha nini......?......unachanganya mambo sana ujue.......
Endapo gari lako halina miss ya engine wakati liko neutral nadhani hilo litakuwa ni tatizo la gearbox.
Utakuwa hujabadilisha hydraulic fluid kwa muda mrefu au unatumia iliyochini ya kiwango na hivyo ama iko pungufu, imechoka sana au uchafu kujaa na kushindwa kufanya kazi ipasavyo.
Tafadhali mwone fundi haraka iwezekanavyo
Inaweza kuwa kweli, sijawahi kubadilisha nilishasoma kwenye kichwa cha dipstick ya gearbox hydraulic pameandikwa "Do not change under normal operation"
Ni namba za mkononi za wadau wa TOTAL. Hiyo ya pili ni yangu, ya kwanza ya coleague
Kaka Gear Box yake masaa yake yamekwisha waone wataalam wa adjust au utafute nyingine kwani hizo ni miongoni mwa zile zilizoitishwa kwa Ulaya na Amerika. Pole sana.
Hizo kilitime model ipi nzuri mbali ya hizo zilizo kataliwa ulaya
Fundi mkuu wa engine Mshana Jr........ kuna li D4 linasumbua hapa.......hebu fanya analysis...........