Asante, namanisha injini used kutoka japani, vipi tofauti ya gharama injini nyingine au overall, kwa sababu nimemuuliza fundi akaniambia kama ni overall niandae kama laki 7,
Sory hizi batan zimeandikwa down upande wa kulia na kushoto kwenye usukani sa sijajua zinamanisha nn ?
Mkuu Mimi naomba kufahamu ufanyaji kazi wa S, naona hapa kwenye D kuna S kulia kwake, kwakweli sielewi wapi napaswa kuitumia.
mkuu Ngoja nijaribu KWA kadri nifahamuvyo ingawa sijui kama utanielewa.
hizo alama zote ni za gia. M manual ukifika hapo na kuiselect gear rever hapo ina maana Gari kama utaendeshea hapo haitabadili gia.
L2 L3 hizo nazo ni gia za low hapo ina maana ukiweka hapo Gari haita change gear automatic.
hizo baton ya snow huwa inaendeshewa kwenye barafu.
na power ukibonya gear box huwa inakuwa na nguvu sana
hahahaha mkuu hapo hilo jibu lako mbona kiboko sana.kwahiyo MAGARI yote yanatengenezwa kwenye nchi zenye joto?? kwahiyo hiyo thermostat inasaidia nini kwenye nchi zenye joto??
unataka kunambia kwenye nchi za joto yatakiwa tuzitoe kabisaaa. au hazina kazi??
Hata ukiacha haina shida kule kwa wenzetu unaweza kuamka asubuhi gari yote imekakamaa kwa baridi kali ya barafu hapo ndio themostart hutakiwa kufanya kazi yake
mkuu hiyo haitakiwi kutolewa hata huku kwetu.
na mafundi wengi wa bongo huwa wanazitoa sana na kusema huku kwetu kuna joto hivyo hazina kazi.
sio kweli thermoster haitakiwi kutolewa mkuu na jambo jingine ambalo unaweza ukaona Gari yako inakula mafuta na kutokuwa na nguvu vizuri basi ukitoa hiyo kitu.na kuna baadhi ya Gari ukitoa Gari inakuwa haieleweki inakuwa kama I me hang any I kiwi flani hivi inakuwa na kimiss kisichoeleweka.
vile vile engine huwa inachoka sana na kuwa huwa inajaa sana carbon kwa ndani.kama utafahamu vizuri kazi ya ECT au THW basi bila shaka husisha na thermoster utaungana na mm.
kama Gari inachemsha shugulikia suala la kuchemsha na sio kutoa thermosterter.
Hahahaha , nilidhani ni fundi wa vilainishi vya magari humu ndani!!!!Mimi ni fundi mkuu wa shokomzoba na breki pads humu ndani..........hi hi hi........
Napenda kuuliza, natumia gari aina ya corona injini 5A, injini imeshachoka je! ni bora kufanya kipi, ovaholi au kununua injini nyingine? Na gharama inakuwaje kununu injini coz overall fundi ameniambia nitafute kama laki 7
Mmh kama bei imepoa saana chukua
Kama ngapi kaka, anapiga 7.5m....
Wakuu Mwenye Utaalamu Na Magari Anisaidie Ni model Gani Ya Gari Imara,inakula Mafuta Kidogo Na Inauzwa Bei Nafuu