Jerrymsigwa
JF-Expert Member
- Jun 23, 2012
- 14,084
- 8,384
LEGE bwana; mpk nimesmileacha ubahiri mkuu na usiwe unapuuza mambo.kama upo dar nitafute mm nitakufanyia bei chee hiyo sensor 40000 nakukufungia kabisa
Last edited by a moderator:
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
LEGE bwana; mpk nimesmileacha ubahiri mkuu na usiwe unapuuza mambo.kama upo dar nitafute mm nitakufanyia bei chee hiyo sensor 40000 nakukufungia kabisa
Finally nimepata toyota duet,suzuki swift na vits zote fundi wangu amezikagua amesema ziko vizuri na price tofauti sio kubwa. naombeni comment za mwisho nsije jutia ndio gari ya kwanza, so which one i should go for.thanks in advance great thinkers.
Finally nimepata toyota duet,suzuki swift na vits zote fundi wangu amezikagua amesema ziko vizuri na price tofauti sio kubwa. naombeni comment za mwisho nsije jutia ndio gari ya kwanza, so which one i should go for.thanks in advance great thinkers.
Wapendwa wana JF
Nimekuwa Napata shida barabarani kutoka kwa washirika wenzangu wa barabara hivyo naomba kukumbusha mambo yafuatayo
1. Washa indiketa unapotaka kutoka barabarani au kuruhusu gari lipite angalau meta 50 kabla ya kutoka.
2. Ukiona mwenzako ana ovateki, usimfuate/ kuunganisha hadi ujiridhishe kuwa ni salama.
3. Kuwasha indiketa sio kibali cha kukuruhusu upite/ kupinda kulia, ila ni ishara kuwa unataka kupinda, hivyo ukishawasha, sharti uangalie nyuma (side mirror) na mbele, kujiridhisha kuwa ni salama kabla ya kupinda.
4. Usikimbize gari mahali ambako huoni umbali mrefu/ kwenye Bonde au Kona, kwani huwezi jua nini unaweza kukutana nacho huko (wanyama, gari imeharibika nk)
5. Mkiwa mnafuatana (magari mawili) mwenzako akasimama, usipite kabla ya kujua kwa nini amesimama.
6. Kuendesha chini ya KM 50 kwa saa highway, haikuepushii ajali bali ni kuwapa usumbufu watumia barabara wenzako; cha msingi ni kufuata taratibu za barabarani.
7. Kumbuka; kumbiza gari sio chanzo cha msingi cha kuleta ajali; Kinacholeta ajali ni kutokujua sheria au kutozifuata sheria na alama za barabarani zinazokuruhusu wapi ukimbize na wapi uende polepole.
8. Usiongee na simu lakini pia usipige sana stori au Kusikiliza radio/mahubiri kwenye radio wakati hujazoea kwani ukinogewa unaweza kujisahau na kukwangua/kukwanguliwa
9. Jitahidi kujua ukubwa wa gari lako, hasa kama unarudi nyuma au unapita sehemu nyembamba; omba msaada wa kuelekezwa.
10. Ukipaki gari barabarani, hakikisha ni salama kabla ya kufungua Mlango. Hii ni jukumu lako kuangalia usalama wako na uliowapakia hasa kama mlango unafungukia kulia (upande wa barabarani).
Kumbuka kuna bodaboda zinazoweza kugonga mtu anayeshuka kwa urahisi
Nawasilisha!!!
Hapana usifanye modification, kuna madhara kama gari kutetema na fuel consumption kupanda
Asante mkuu kwa maelezo yakobmazuri.
umesahau moja au mawili ingawa katika maelezo yako umegusia, kuendesha gari sio tu kuibeba mashine yenyewe name kuipeleka hapana! kitu kinaitwa "Common Sense" in muhimu sana.jam, Accident hata malumbano barabarani yanaletwa na ukosefu wa akili hiyo ya kuzaliwa.
nadhani kingepatikana chombo maalumu au mtaalamu was kulichunguza chili tungepona sababu madereva engine wendawazimu kabisaa! unasjangaa Hutu gari anaendesha ya nini?
LA mwisho taxa..full na beam usiku hakika 90% ya madereva hawajui matumiza ya TSA unspokutana na mwenzio shusha mataa usitumie mataa msrefu..full light wengi anakupelekea! hay no makosa makubwa husababisha hata ajali usalama barabarani toeni magunzo thabiti kuhusu jambo hili najua mko ktk uwanja wetu.
asanteni.
Wakuu msaada kudogo gari yangu ni ndono na unatumia mfumo Wa zamani Wa Taa kubwa ninavyooa yaaani inakuwa na jumba LA Taa na ndani yake kuna kuwa na balbu nilitaka kujua he inawezekana hizo Taa kuzifanyia mod. Na kuwaka mwanga mkali (booster)kama gari za kisasa? Maana nanyanyasika rodini
thanksHongera sana kwanza, chek ipi inakupa raha ukiendesha mkuu
Thank you thinkersuzuki swift... spare zake ziko juu sana.
vitz zinakuaga na ugonjwa wa gear box.
duet.. sijawai sikia malalamiko common ya duet.
nkushauri go for SWIFT ni ghali kuimaintain lakini kama ni mtumiaji mzuri uta enjoy ni ngumu na comfy, ila resale yake ni ngumu kiasiFinally nimepata toyota duet,suzuki swift na vits zote fundi wangu amezikagua amesema ziko vizuri na price tofauti sio kubwa. naombeni comment za mwisho nsije jutia ndio gari ya kwanza, so which one i should go for.thanks in advance great thinkers.
Mdada nawe umo!!!.Tafuta yenye engine ya 1ZZ......hizi huwa ni vvti..........ni za mwaka 2000-2005 nadhani........
kwa kuongezea, magari mengi tunanunua used huwa yanakuja na mannual za kijapani, na hakuna tafsiri so we go by the rule of the thumb
Mdada nawe umo!!!.
Habari zenu
Nina gari aina ya subaru legacy ya kifamilia. Inatumia tyre size 17 lakini kutokana na changamoto za barabara za matuta na huku nakokaa lazima nivuke kivuko imekuwa inanipa taabu kidogo sehemu ya mbele na chini vilevile kukwaluza. Sasa nilikuwa nataka kuiinua kwa kuweka spensa na kubadilisha tyre ziwe size 18. Je nini madhara ya kufanya hivi? Inaweza kuathiri utulivu wa gari barabarani hasa nikiwa katika mwendo mkubwa, kwani kwa sasa inaonekana gari ipo chini sana. Kama hakuna athari je wapi naweza kupata rim kali za subaru legacy size 18? Asanteni
Nawasilisha