mkuu upo wapi wewe kwani ?? hata kama upo mkoani unaagiziwa tuu.zipo nyingi sana mkuu .mm nipo dar zinapatikana sana tuu.sijui unataka 1kz ipi we we.ya kwenye body gani
Mkuu injini ya 1KZ nataka niifunge kwenye toyota surf, gearbox ni automatic. Nipo mkoani
Mkuu injini ya 1KZ nataka niifunge kwenye toyota surf, gearbox ni automatic. Nipo mkoani
Habari wakuu
Japo mda mrefu natumia magari ila sina uzoefu wa kuyajua ki undani, nataka kununua gari kati ya hizi....Opa au mark 2 grand, ipi safi zaid ndg zangu?
Mkuu......hebu jaribu na hawa hapa......huwezi kosa hiyo engine.........wanazo nyingi sana.........
engine ya 1kz ya kwenye surf mbichi kabisa kutoka Japan 3M na laki kadhaa hivi na control yake ukifika wewe unafunga kwenye Gari unahamisha waya za gear box na kuzifunga kwenye control box ya 1kz biashara imekisha .hapo unauziwa engine complete na wiring yake pamoja na control box yake
ki muonekano wa nje binafsi Mark 2 ipo poa........Ila Opa.....duh....
Habari wakuu
Japo mda mrefu natumia magari ila sina uzoefu wa kuyajua ki undani, nataka kununua gari kati ya hizi....Opa au mark 2 grand, ipi safi zaid ndg zangu?
Akhsante Mkuu, hivyo unanipa ushauri gani kulingana na uzoefu wako?
Mi nimetumia Mark II grande (engine 1G FE vvti) ni gari nzuri sana, japo watu wanazilalamikia ulaji wa mafuta mi sikuona kama inakula sana ukilinganisha na ukubwa wa injini nilikuwa natumia lita 1 kwa 12.5-13km.
Opa sijazitumia ila zina-AZ engine family-ambazo zipo za 1.8 na 2.0.
Nadhani Mark 2 ipo poa.......
Habarini za jioni wadau. Nimekua nikiomba mara kadha mniunganishe kwenye kundi la magar la wasup lkn wap. Mnifikirie basi... mshana jr fanya mambo kaka. 0719918789
mkuu kwa sababu kubwa ni short kwenye otoneta kwenye diode/rectifire kama utaunga huku Gari ikiwa IPO off na hujatoa terminal ya betri inamaana utaruhusu ule umeme wa mashine ya welding uflow mpaka kwenye diode na kuziharibu.
lakini kama utakuwa umeiwasha Gari uhalibifu hauwezi tokea kwa kuwa otoneta inakuwa inafanya kazi na suala LA UMEME Ku flow mpaka kwenye diode hauwezi tokea.
sijui kama utakuwa umenielewa kama utakuwa hujanielewa au utataka maelezo ya kiufundi zaidi nitakushushia tuu.maana hapo upele umemkuta mkunaji.