Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

mkuu upo wapi wewe kwani ?? hata kama upo mkoani unaagiziwa tuu.zipo nyingi sana mkuu .mm nipo dar zinapatikana sana tuu.sijui unataka 1kz ipi we we.ya kwenye body gani

Mkuu injini ya 1KZ nataka niifunge kwenye toyota surf, gearbox ni automatic. Nipo mkoani
 
Habari wakuu

Japo mda mrefu natumia magari ila sina uzoefu wa kuyajua ki undani, nataka kununua gari kati ya hizi....Opa au mark 2 grand, ipi safi zaid ndg zangu?
 
Mkuu......hebu jaribu na hawa hapa......huwezi kosa hiyo engine.........wanazo nyingi sana.........
 
Attachments

  • image.jpg
    image.jpg
    18.7 KB · Views: 245
Mkuu injini ya 1KZ nataka niifunge kwenye toyota surf, gearbox ni automatic. Nipo mkoani

engine ya 1kz ya kwenye surf mbichi kabisa kutoka Japan 3M na laki kadhaa hivi na control yake ukifika wewe unafunga kwenye Gari unahamisha waya za gear box na kuzifunga kwenye control box ya 1kz biashara imekisha .hapo unauziwa engine complete na wiring yake pamoja na control box yake
 
Habari wakuu

Japo mda mrefu natumia magari ila sina uzoefu wa kuyajua ki undani, nataka kununua gari kati ya hizi....Opa au mark 2 grand, ipi safi zaid ndg zangu?

ki muonekano wa nje binafsi Mark 2 ipo poa........Ila Opa.....duh....
 
engine ya 1kz ya kwenye surf mbichi kabisa kutoka Japan 3M na laki kadhaa hivi na control yake ukifika wewe unafunga kwenye Gari unahamisha waya za gear box na kuzifunga kwenye control box ya 1kz biashara imekisha .hapo unauziwa engine complete na wiring yake pamoja na control box yake

Nashukuru kunijuza. Mkuu hizo zinapatikana wapi nazo?!
 
Habari wakuu

Japo mda mrefu natumia magari ila sina uzoefu wa kuyajua ki undani, nataka kununua gari kati ya hizi....Opa au mark 2 grand, ipi safi zaid ndg zangu?

Mi nimetumia Mark II grande (engine 1G FE vvti) ni gari nzuri sana, japo watu wanazilalamikia ulaji wa mafuta mi sikuona kama inakula sana ukilinganisha na ukubwa wa injini nilikuwa natumia lita 1 kwa 12.5-13km.

Opa sijazitumia ila zina-AZ engine family-ambazo zipo za 1.8 na 2.0.
 
Habarini za jioni wadau. Nimekua nikiomba mara kadha mniunganishe kwenye kundi la magar la wasup lkn wap. Mnifikirie basi... mshana jr fanya mambo kaka. 0719918789
 
Jaman wadau. Naitaji vitu vifuatavyo
taa used kubwa za mbele za carina TI
Shokup used zote nne za carina TI.
Bush, boll join na rings za tairi za mbele. NIPO DSM
 
Mi nimetumia Mark II grande (engine 1G FE vvti) ni gari nzuri sana, japo watu wanazilalamikia ulaji wa mafuta mi sikuona kama inakula sana ukilinganisha na ukubwa wa injini nilikuwa natumia lita 1 kwa 12.5-13km.

Opa sijazitumia ila zina-AZ engine family-ambazo zipo za 1.8 na 2.0.

Akhsante mkuu
 
Habarini za jioni wadau. Nimekua nikiomba mara kadha mniunganishe kwenye kundi la magar la wasup lkn wap. Mnifikirie basi... mshana jr fanya mambo kaka. 0719918789

mkuu utakuwa na rangi tofauti na wenye kundi maana kuna watu ndio wanaangaliwa ?? maana mm kuhusu kuungwa nishatuma comment zaidi ya 7 kwa kuwa qout wahusika wa group lakini wapi .nikawafuata mpaka PM lakini kimyaaa.

nikaamua kuwafuata wengine KWA kuwaandikia SMS kwenye watsapp nikajua itakuwa rahisi zaidi kwao lakini napo bado ikawa kimyaa.na mm nikaamua nikaushe tuu.
 
mkuu kwa sababu kubwa ni short kwenye otoneta kwenye diode/rectifire kama utaunga huku Gari ikiwa IPO off na hujatoa terminal ya betri inamaana utaruhusu ule umeme wa mashine ya welding uflow mpaka kwenye diode na kuziharibu.

lakini kama utakuwa umeiwasha Gari uhalibifu hauwezi tokea kwa kuwa otoneta inakuwa inafanya kazi na suala LA UMEME Ku flow mpaka kwenye diode hauwezi tokea.

sijui kama utakuwa umenielewa kama utakuwa hujanielewa au utataka maelezo ya kiufundi zaidi nitakushushia tuu.maana hapo upele umemkuta mkunaji.

Note this.
 
vipi nissan Murano wadau, ubora wake kiujumla na perfomance??
 
Back
Top Bottom