Nashukuru mkuu lakini spare zinapatikana??
Msaada bandugu...kuna hii mazda demio...nimeipenda sana....vip mnaoijua hii gari...kwa maana ya upatikanaji wa vipuri na bei zake....!
Kaizar where
Rough road jiaandae kung'ata meno.siijui vizuri ila kuna jamaa anayo mwaka aasa haijampa tabu.ila kwa barabara mbovu haimudu kivile
Asante mkuu...kwa bajet zetu hizi kung'ata memo hakuepukiki....! Nawaza tu availability ya vipuri
MSAADA TAFADHALI
KUHUSU GARI
- Je ni duka lipi (mtaa/mahali lilipo au mawasiliano) naweza kununua {a} Left Sight mirror complete {b} Kioo - mlango wa kushoto; Pia waweza kuweka na bei {au makadilio ya bei} kwa kila kimoja.
- Ni gereji ipi kwa DAR ES SALAAM niende wanifanyie hii kazi kiufanisi; ikiwa ni pamoja na kunyosha body.
- Je ni gereji ipi na ya wapi (mtaa/mahali lilipo au mawasiliano) nitapata wataalamu wa kupaka rangi. Lengo ni gari yote ipakwe rangi upya; Naomba makadirio ya gharama pia kwa upakaji rangi.
Ahsanteni sana kwa masaada wenu
- Ni toyota IST
- Rangi: Meatallic Black
Hakuna aliyeumia kwenye hili tukio.
Naomba kujua dalili za rotter kama ni mbovu kwenye pump ya dizeli!
mkuu kuhusu spea hiyo usipate tabu mpigie huyu jamaa anaitwa amouri yupo ILALA karibia kabisa na ofisi za raha Leo .kama utakuwa umewahi pasikia KWA OSAMA 0715 274191. 0777274191 .
na kuhusu ni gereji gani ya kupiga rangi. zipo nyingi sana mkuu sema labda nikuulize hiyo gari ni ya bima?? garama za kupiga rangi au zinatoka kwako mwenyewe .maana naweza nikakupa gereji ambayo wanapiga rangi GARI za bima ukienda ww ukiambiwa bei zao lazima utoke ndukiii.
0782242450.mcheki huyo.
ndugu LEGE ahsante kwa masaada
Kuhusu ghalama za kupiga rangi - Zinatoka kwangu mwenyewe. Naomba mwongozo.
Wakuu gear box oil ikipungua kwenye gari madhara yake ni nini!
mkuu hiyo haitakiwi kutolewa hata huku kwetu.
na mafundi wengi wa bongo huwa wanazitoa sana na kusema huku kwetu kuna joto hivyo hazina kazi.
sio kweli thermoster haitakiwi kutolewa mkuu na jambo jingine ambalo unaweza ukaona Gari yako inakula mafuta na kutokuwa na nguvu vizuri basi ukitoa hiyo kitu.na kuna baadhi ya Gari ukitoa Gari inakuwa haieleweki inakuwa kama I me hang any I kiwi flani hivi inakuwa na kimiss kisichoeleweka.
vile vile engine huwa inachoka sana na kuwa huwa inajaa sana carbon kwa ndani.kama utafahamu vizuri kazi ya ECT au THW basi bila shaka husisha na thermoster utaungana na mm.
kama Gari inachemsha shugulikia suala la kuchemsha na sio kutoa thermosterter.