Gari langu Nissan x-trail linawaka taa ya cheque engine, hutetema kwa intervals za dk kama 3 hivi linapokuwa silence/parking hasa likiwa limepata joto. Tatizo ni nini? Msaada plz, naishi kijijini
unaishi kijiji gani boss?? kwa nissan mkuu ushauri wangu mkubwa ili uendelee kuipenda gari yako na usiiharibu tafuta mashine uipime na nenda kwa fundi ambaye anaweza kurekebisha maana now watu wengi wamenunua mashine kwa lengo la kupima tuu wanakutoa pesa zako wanakwambia tushakupimia na kuclear fault code unawapa pesa yao wanasepa.
mashine ni kama pen kwa karani ndio kifaa chake cha kazi.
hivyo anakupimia na kukurekebishia pia.
nakingine watanzania tuache kuwa nyuma kwa kila jambo suala kama lako hilo ni jepesi sana mbona.
unamiliki gari ya milion zaidi ya tano unashindwa kununua code reader ya $50 kwaajili ya kuchekia matatizo yako kwenye gari??
unamiliki smart phone ya laki 5 or 4 au hata laki na nusu unashindwa kununua obd 2 socket ya blue tooth unakuwa unachomeka kwenye gari na kufiagnosis gari yako kwa kutumia simu yako?? wakati garama ya hizo blue tooth soketi za obd 2 ni kama $9 or 10 nakitu tuu??
ilipaswa mnapokuja humu muwe mnasema jamani mwenzenu nime pima gari yangu na nimepata fault code hii example P0135 CKP circuirt malfunctio
je inamaana gani?? au hiyo ckp kwenye nissan x trail inakaa wapi?? ndio unapewa msaada stahiki.
now unauliza swali ambalo ni rahisi sana harafu ni gumu.kwa mm binafsi lipo ndani ya uwexo wangu lkn kwa style yako lipo nje ya uwezo wangu.
ungekuwa upo dar ningekwambia nitafute mm nitakupimia bure kabisa ki JF lakini spea juu yako kama itahitajika.
au kama unaweza fika dar poa.
magari mengi yanakufa na kuharibika zaidi kwajili ya nyie wamiliki kutokuyapa tiba stahiki.
na kwanisani ilivyo ukiitengeneza kienyeji utajuta na huto kaa uje uzipende tena gari za nissan

Mkuu LEGE nimevutiwa na maelezo yako hayo ya OBD II bluetooth scanner. Kwa heshima na taadhima naomba kama unafahamu kwa DSM vinauzwa wapi utuambie, ili tuweze kutumia simu janja zetu kwa manufaa zaidi.
kuna jamaa huwa anazileta ngoja niwasiliane naye kama anazo then nitawajuza wakuu.
Kiongozi asante sana kwa kushare hii info...nilikuwa ninawoga mkubwa sana kwa magari ya nissan ila kwa maelezo yako woga unaonesha downward trend...!
mkuu katika gari za bara la asia ukiniuliza nigari gani napenda kutengeneza kati ya toyota na nissan mm kama fundi umeme nitakwambia nissan.kwasababu ni gari ambayo haina magonjwa ya ajabu ajabu na nigari ambayo inatengenezeka na haidanganyi kabisaa.
uzuri uwe na mashine ukipima ukikwambia ni sensor flani ukibadilisha gari mpyaa.kingine huwezi itengeneza bila kuwa na mashine ukiotea otea ndio unaharibu kabisaa.
nissan usipozingatia mambo madogo madogo kama kubadili airclener petrol filter na plug lazima ile kwako sababu kubwa ni kuwa nissan inatumia accereleter ya umeme hivyo kuna kitu hapo kati ya hivyo kikipungua ufanisi kidogo gari inakuwa na kamiss flan au inakuwa na ugonjwa wa kuzimazima au ukiwa kwenye folen inazima huo ugonjwa unaweza ukakulia pesa hata laki 5 kumbe ni airclener element 2.
na tatizo jingine mafundi wengi wenye mashine wao kazi yao kubwa wanajua kupima tuu gari fault code basi likiwa halina fault code hana ujanja kupima data za gari hawezi.maana fuel pump inaweza ikawa nzima lkn imepungua nguvu yake.au airclener linaweza likawa safi lkn lishachoka linapitisha kiwango kdg cha hewa kwenda kwenye engine au spark plug kwa macho waweza ziona kama bado nzima lkn ufanisi wake wa kutupa spark umepungua utajuaje vitu kama hivi ndio yatakiwa uweze kucheza na mashine.
harafu kwa nyie mnao miliki magari ni rahisi kwa kuwa mnamiliki gari 2 au 4 or 1 ni rahisi kuzifuatilia kiundani tofauti na sisi mafundi leo upo na toyota hii kesho hii keshokutwa honda au hata kwa siku 1 unaweza ukatengeneza magari hata 5 ya kampuni tofauti
kuna jamaa huwa anazileta ngoja niwasiliane naye kama anazo then nitawajuza wakuu.
Unapatikana wapi mkuu LEGE? Nipo DSM nina Toyota Will VS, 1794cc, huwa inatumia kama lita 1 kwa 7-8km. Niliwahi kwenda kwa watu wa kupima, mashine haikuonesha fault, nikabadili plugs lkn hakukuwa na tofauti. Nikachukulia kama ndio uwezo wake, labda tunaweza share ideas zaidi. I frequently clean air filter na kubadili oil na filter yake kila baada ya 3000km.
mkuu Lege asante kwa ushauri murua!ninaomba kujuzwa aina ya code reader nzuri ninayoweza nunua kwani nina magari aina mbili subaru forester na rav 4 old model nipo Tabora!Mungu akubariki sana
Wakuu nimerudi tena kwa mwenye ufahamu huu anifafanulie vizuri. Ninagari aina ya Alteza lakini siku za hivi karibuni imekumbwa na tatizo unappiwasha inatetemeka sana na ukiendesha jaifiki kilometa 10 inajizima sijajua tatizo nini labda mwenye ufahamu anaweza kunieleza tafadhali.
Nikienda spd alafu nikaribie bamz inazima. Ingine ni dual vvti