Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

Gari langu Nissan x-trail linawaka taa ya cheque engine, hutetema kwa intervals za dk kama 3 hivi linapokuwa silence/parking hasa likiwa limepata joto. Tatizo ni nini? Msaada plz, naishi kijijini
 
unaishi kijiji gani boss?? kwa nissan mkuu ushauri wangu mkubwa ili uendelee kuipenda gari yako na usiiharibu tafuta mashine uipime na nenda kwa fundi ambaye anaweza kurekebisha maana now watu wengi wamenunua mashine kwa lengo la kupima tuu wanakutoa pesa zako wanakwambia tushakupimia na kuclear fault code unawapa pesa yao wanasepa.

mashine ni kama pen kwa karani ndio kifaa chake cha kazi.

hivyo anakupimia na kukurekebishia pia.

nakingine watanzania tuache kuwa nyuma kwa kila jambo suala kama lako hilo ni jepesi sana mbona.
unamiliki gari ya milion zaidi ya tano unashindwa kununua code reader ya $50 kwaajili ya kuchekia matatizo yako kwenye gari??

unamiliki smart phone ya laki 5 or 4 au hata laki na nusu unashindwa kununua obd 2 socket ya blue tooth unakuwa unachomeka kwenye gari na kufiagnosis gari yako kwa kutumia simu yako?? wakati garama ya hizo blue tooth soketi za obd 2 ni kama $9 or 10 nakitu tuu??

ilipaswa mnapokuja humu muwe mnasema jamani mwenzenu nime pima gari yangu na nimepata fault code hii example P0135 CKP circuirt malfunctio
je inamaana gani?? au hiyo ckp kwenye nissan x trail inakaa wapi?? ndio unapewa msaada stahiki.

now unauliza swali ambalo ni rahisi sana harafu ni gumu.kwa mm binafsi lipo ndani ya uwexo wangu lkn kwa style yako lipo nje ya uwezo wangu.

ungekuwa upo dar ningekwambia nitafute mm nitakupimia bure kabisa ki JF lakini spea juu yako kama itahitajika.

au kama unaweza fika dar poa.

magari mengi yanakufa na kuharibika zaidi kwajili ya nyie wamiliki kutokuyapa tiba stahiki.

na kwanisani ilivyo ukiitengeneza kienyeji utajuta na huto kaa uje uzipende tena gari za nissan
 
Code reader toyota naweza kupata sehemu gani dar
 
Mkuu LEGE nimevutiwa na maelezo yako hayo ya OBD II bluetooth scanner. Kwa heshima na taadhima naomba kama unafahamu kwa DSM vinauzwa wapi utuambie, ili tuweze kutumia simu janja zetu kwa manufaa zaidi.
 
Last edited by a moderator:

Duuuuuuuu LEGE umetoa somo zuri sana lakini na vijembe juu
 
Last edited by a moderator:
Mkuu LEGE nimevutiwa na maelezo yako hayo ya OBD II bluetooth scanner. Kwa heshima na taadhima naomba kama unafahamu kwa DSM vinauzwa wapi utuambie, ili tuweze kutumia simu janja zetu kwa manufaa zaidi.

kuna jamaa huwa anazileta ngoja niwasiliane naye kama anazo then nitawajuza wakuu.
 
Last edited by a moderator:
kuna jamaa huwa anazileta ngoja niwasiliane naye kama anazo then nitawajuza wakuu.

Kiongozi asante sana kwa kushare hii info...nilikuwa ninawoga mkubwa sana kwa magari ya nissan ila kwa maelezo yako woga unaonesha downward trend...!
 
mkuu katika gari za bara la asia ukiniuliza nigari gani napenda kutengeneza kati ya toyota na nissan mm kama fundi umeme nitakwambia nissan.kwasababu ni gari ambayo haina magonjwa ya ajabu ajabu na nigari ambayo inatengenezeka na haidanganyi kabisaa.

uzuri uwe na mashine ukipima ukikwambia ni sensor flani ukibadilisha gari mpyaa.kingine huwezi itengeneza bila kuwa na mashine ukiotea otea ndio unaharibu kabisaa.

nissan usipozingatia mambo madogo madogo kama kubadili airclener petrol filter na plug lazima ile kwako sababu kubwa ni kuwa nissan inatumia accereleter ya umeme hivyo kuna kitu hapo kati ya hivyo kikipungua ufanisi kidogo gari inakuwa na kamiss flan au inakuwa na ugonjwa wa kuzimazima au ukiwa kwenye folen inazima huo ugonjwa unaweza ukakulia pesa hata laki 5 kumbe ni airclener element 2.

na tatizo jingine mafundi wengi wenye mashine wao kazi yao kubwa wanajua kupima tuu gari fault code basi likiwa halina fault code hana ujanja kupima data za gari hawezi.maana fuel pump inaweza ikawa nzima lkn imepungua nguvu yake.au airclener linaweza likawa safi lkn lishachoka linapitisha kiwango kdg cha hewa kwenda kwenye engine au spark plug kwa macho waweza ziona kama bado nzima lkn ufanisi wake wa kutupa spark umepungua utajuaje vitu kama hivi ndio yatakiwa uweze kucheza na mashine.

harafu kwa nyie mnao miliki magari ni rahisi kwa kuwa mnamiliki gari 2 au 4 or 1 ni rahisi kuzifuatilia kiundani tofauti na sisi mafundi leo upo na toyota hii kesho hii keshokutwa honda au hata kwa siku 1 unaweza ukatengeneza magari hata 5 ya kampuni tofauti
 
LEGE Nashukuru sana kwa utaalamu wako. Nilileta Toyota Ist ya wife kwako kuangalia ulaji wake wa mafuta. Tangu umeirekebisha kwa sasa inatumia MAFUTA vizuri sana. Nilienda nayo Morogoro nilitumia lita 11 tu kutoka Vingunguti hadi Morogoro Kihonda umbali wa Km 193.4.
Nashukuru mno kwani mwanzoni ilikuwa inatumia MAFUTA mengi mno.
 
Last edited by a moderator:
kuna jamaa huwa anazileta ngoja niwasiliane naye kama anazo then nitawajuza wakuu.

Unapatikana wapi mkuu LEGE? Nipo DSM nina Toyota Will VS, 1794cc, huwa inatumia kama lita 1 kwa 7-8km. Niliwahi kwenda kwa watu wa kupima, mashine haikuonesha fault, nikabadili plugs lkn hakukuwa na tofauti. Nikachukulia kama ndio uwezo wake, labda tunaweza share ideas zaidi. I frequently clean air filter na kubadili oil na filter yake kila baada ya 3000km.
 
sana sana napatikana mwenge na sinza.some time mikoani kama kukiwa na ishu na hata hapa dar maeneo mengi huwa nakuwepo inategemeana na kazi.
 
Last edited by a moderator:
mkuu Lege asante kwa ushauri murua!ninaomba kujuzwa aina ya code reader nzuri ninayoweza nunua kwani nina magari aina mbili subaru forester na rav 4 old model nipo Tabora!Mungu akubariki sana
 
Wakuu habari zenu na mpango wa kuuza mitsubishi pick up yangu hizi model za 1995 kwa sasa naweza kuiuza bei gani mile ni past 150 haina shida yoyote maana Hua siitumii mara nyingi ahsanteni
 
Wakuu nimerudi tena kwa mwenye ufahamu huu anifafanulie vizuri. Ninagari aina ya Alteza lakini siku za hivi karibuni imekumbwa na tatizo unappiwasha inatetemeka sana na ukiendesha jaifiki kilometa 10 inajizima sijajua tatizo nini labda mwenye ufahamu anaweza kunieleza tafadhali.
 
Habari wana jukwaa, ninapata shida kidogo kufanya maamuzi.
Ninataka kununua gari yangu ya kwanza, so far its jicho limedondokea katika Toyota Corolla Fielder na Corolla Runx.
Kwa kijana bachelor kama mimi mnashauri nichague ipi kwa kuzingatia vigezo vya uimara, gharama za matunzo na uwezo wa kustahimili barabara zetu za tanzania.
Asante
 
mkuu Lege asante kwa ushauri murua!ninaomba kujuzwa aina ya code reader nzuri ninayoweza nunua kwani nina magari aina mbili subaru forester na rav 4 old model nipo Tabora!Mungu akubariki sana

daa pole sana mkuu kwa bahati mbaya unamiliki magari dume yote aisee.

hapo kwenye subaru ni shidaa kidogo coz subaru kwanza huwa anajipima code mwenyewe hapo chini ya stering kwenye brake pedal ukichungulia kwa ndani utaona kuna pair 2 za socket hazijaungwa kuna pair 1 inakuwa na socket za rangi nyeusi au grey hizo pini 2 ukizichomeka /unganisha utakuwa unafanya onbord diagnosis hapo utaanza kuona taa ya chek engine inawaka na kuzima inakuwa inasoma fault code hapo ndio ufundi kidogo unahitajika lakini kwa kuwa dunia kijiji unaweza ukarecord na kumtumia hiyo video mtu anaye jua na kukwambia hiyo ni kodi namba ngapi na.ina maanisha nini.

tatizo kubwa la code reder zenyewe zinatumia socket 1 tuu ya pin 16.na subaru anatumia socket kama 4 hivi au 3 kwanza ya 16,14,na 9 na 3 hapo ushukuru ununue ukute gari yako inatumia pin 16.

na subaru some times unaweza ukaona ina pin ya 16 ukapima ikakugomea utaleta hata mashine 1000.unakuta gari 1 inasoket 3 zote anachofanya anagawanya transmission soket yake engine soketi yake na air bag soketi yake.

na juu ya rav 4 old model yenyewe ni ngumu kidogo labda upate mashine ndogo maana yenyewe inatumia socket ya nje ambayo ni tofauti kbs.

mashine ambayo itakufaa wewe hapo labda ununue xtool ambayo huwa inakuwa na soket kama 5 hivi ili uweze kupata za subaru na toyota.

au rahisi na.nzuri zaidi unanunua cable na soketi tofauti kulingana na gari zako then.unanunua softwere una install kwenye phone au laptop basi mchezo umeisha.

mara nyingi mm rav 4 huwa napima tu code
 
Wakuu nimerudi tena kwa mwenye ufahamu huu anifafanulie vizuri. Ninagari aina ya Alteza lakini siku za hivi karibuni imekumbwa na tatizo unappiwasha inatetemeka sana na ukiendesha jaifiki kilometa 10 inajizima sijajua tatizo nini labda mwenye ufahamu anaweza kunieleza tafadhali.

ina engine gani?? na je ikizima inawaka hapo hapo au mpaka ukae ipoe kidogo??

kama ikizima ukiiwasha haiwaki hapo hapo mpaka ikae kdg ndio inawaka basi basi crank shaft sensor ndio inaaga aga hiyo.

lakini kama ukiendesha speed ukija ukikanyaga brake na kupunguza mwendo au ukiwa kwenye foleni ndio inazima basi kuna shida kidogo hasa kwenye mfumo wa hewa sana sana.ratio ya hewa na mafuta itakuwa haijakaa vizuri.

mkuu hizi ni ramli lakini.gari ikionekana ndio unakuwa na jibu sahihi
 
Nikienda spd alafu nikaribie bamz inazima. Ingine ni dual vvti
 
hapo mkuu gari itakuwa na miss
au idle sensor iliyopo kwenye throttle inaweza ikawa chafu sana so inashindwa kubalance hewa ndio maana gari ukipiga less kubwa then ukiachia gari inaweza ikazima kabisa au kama hivyo ukiwa speed then ukapunguza mwendo inazima moja kwa moja.

sasa hapo jaribu kuchek plug,petrol filter,airclener,fuel pump na fungua kithrottle na ufungue idle yake iliyopo kwenye throttle isafishe.
 
Back
Top Bottom