Karibu Custom Venture ni kampuni inayotengeneza na kuagiza vifaa vya magari ......
Tunakodishaji wa Magari ya mikutano, sherehe na safari mbali za kimasomo na misiba.......
Watengenezaji wa vivuli vya magari na mageti ya kisasa.....
Piga Simu 0712999090/0763999090
instagram Custom Venture
Sorry vivuli au vipuri?
Mkuu,
Usipende mashindano barabarani. Huwa hayana mwisho mwema. Lakini kama umedhamiria kweli, utafika unakokimbilia...very soon.
Wadau wa magari nauliza sawali! Nina gari gx 100. Kuna cku tulikua tunafukuzana kwenye high way na jamaa mmoja. Bahati mbaya nikaigonga gear lever ikatoka kwenye D mpaka R straight! Cha ajabu gari ili behave kama ipo neutral tu na haikutokea msuguano wowote wa vyuma ndani mpaka nikairudisha tena kwenye D. Swali langu ni kwamba hizi gari za automatic zina speed maalumu kwamba hata gear ikiwa R gari haitaharibika? Kwa sababu ukikosea kwenye speed ndongo gari inashtuka sana na haitaingia kabisa Kwenye R.
Daah hata swali hujajibu mkuu. Ahsante kwa ushauri. Naendesha gari toka 1991 nilipigwa pasi mara ya mwisho mwaka 1999. Ajali sio speed tu inajumuisha mambo meeengi sana. Please mwenye uelewa wa swali langu anusaidie jibu tusijeanzisha topic juu ya topic.
sina uhakika na hilo siwezi kukubishia lkn nijuavyo mm utakuwa hukufika kwenye R but ulifika kwenye N sababu gari ikiwa kwenye P iliiweze kumove mpaka kwenye R,N na D ni lazima ukanyage brake lkn ukisha kuwa kwenye N haina haja ya kukanyaga brake unaweza uka move kwenye D L na 2 Au toka chini unaweza ukarudi mpaka kwenye N lkn sio kwenye R .
hiyo mkuu sina uhakika nalo siwezi tia neno hapo mpaka uchunguzi na majaribio niyafanye
Kuna kitu out of yours knowledge n within seconds kilitokea na ndio maana gearbox haikuathirika lakini katika mazingira ya kawaida kungetokea shida kwakuwa zaidi ya NEUTRAL na DRIVER 1, 2, 3, gearleaver haiwezi kumove freely
Idea nzima ya kunyanyua matairi ni kupunguza matumizi ya matairi hayo kipindi ambacho gari halijabeba mzigo, kumbuka malori yana matairi Mengi si kwa ajili ya urembo ,ni kutokana na mizigo mizito yanayobeba. ,ilikiwa tupu kunakuwa hakuna umuhimu wa kuyatembeza yote,
Mifumo ya kunyanyua matairi iko miwili , kutegemeana na aina ya suspension zilizotumika , kwa steel suspension mfumo unaotumika ni hydraulic , kwa air suspension mfumo unaotumika huwa ni wa electronic solenoid ambayo kimsingi huwa ni hewa . kwa bahati mbaya sina uwezo wa kuielezea humu jamvini, ila ni mifumo rahisi Sana Kama unaielezea kwa vitendo .
Kwa kuongezea tu , kuna aina mbili za kunyanyua matairi,mid lift na tag axle
mid lift , hii hunyangua tairi za mbele ya diff,
Tag axle ,hunyanyua tairi za nyuma ya diff,
Mid lift huwa inanyanyua tairi ikiwa empty tu, Tag axle huwa inanyanyua hata Kama Ina mzigo , idea ni kuongeza mkandamizo kwenye diff, Kama itatokea kuteleza .nk, na ndio sababu tag axle huwa zinatumika Sana kwenye rough roads.
wadau habarini za jion samahani naomba kuuliza ist 1NZ ingine 1490cc na ist 2NZ engine 1290cc kati ya hizo kubwa ni ipi na ulaji wa mafuta unatofautiana au upo sawa na spear ni tofauti au sawa kwa bei nahitaji kujua kwa mtalaamu
More cc more fuel consumption..
mkuu hiyo ford escape ni ya mwaka gani?? na je funguo umeinunu wapi?? uliagiza au uliinunua au kuichonga tuu mtaani??msaada plz ford escape v6 ilipoteza ufunguo nimenunua ufunguo ila bado haiwaki