Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kaka lege naweza kupata namba yako ya simu inisaidie kuhusu Hiyo Tatizo la Nissan serena
Jamani naomba ushauri wenu kana gari aina vits na funcargo zinauzwa napenda nifanya maoengezi na muuzaji, naomba ushauri wenu kati ya vits na funcargo ipi bora
Je magar yanayotumia diesel hasa kwa noah voxy .. Alteza au vitz..ni kweli kuwa oil consumption ni ndogo?
Mshana iyo triki ya kupunguza mafuta inakuaje nijuze
Swali langu kaka Mshana ni hili.
Yaani gari ipo speed kama 90 na gari ipo ktk OD{Over Drive} ukaacha kuanyaga mafuta unakuwa unasevu au mafuta yanakwenda vile vile
Swali langu kaka Mshana ni hili.
Yaani gari ipo speed kama 90 na gari ipo ktk OD{Over Drive} ukaacha kuanyaga mafuta unakuwa unasevu au mafuta yanakwenda vile vile