LEGE
JF-Expert Member
- Oct 14, 2011
- 5,122
- 9,209
Alama hii inawaka kwenye dashboard inamaanisha nini?
imekuwaje mpka hiyo taa imewaka mkuu??.ulibadili tairi ?? au ulikwenda kujaza upepo??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Alama hii inawaka kwenye dashboard inamaanisha nini?
Gari ikishazima kuwaka hadi ukae nusu saa ipoe kabisa ndo inawaka tena sasa wameniambia ni sensor
Habari za mapumziko
Naombeni ushauri. Kununua daladala specifically Isuzu journey iliyotumika kwa hapa Tanzania kwa bei isiyozidi milioni 8.5. Je inaweza kuwa nzuri na isiyo na gharama kubwa sana za matengenezo? Ni kwa ajili ya kazi ya usafirishaji abiria kwa hapa mjini Dar Es Salaam.
Nawasilisha
Unanunua presha kwa hela yako mwenyewe in most cases hiyo gari imetumika sana trip moja abiria trip moja kwa fundi lakini waweza kubahatika
Kwa bei hapana ila Pata kilicho bora
Naomba nisaidiwe kufahamu tofauti kati ya engine hizi: DD-4 na VTI
Naomba nisaidiwe kufahamu tofauti kati ya engine hizi: DD-4 na VTI
Naomba nisaidie eti kama gari ipo ktk speed nikaachia mafuta na nisikanyage breki kwa gari ya automatiki.
Kuna madhara yoyote ktk gear box na jee inasevu mafuta kwa asilimia ngapi? Nijuze ndugu yangu najua umu kuna wanaojua kuliko mimi navyofikiria