Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

Habari zenu wakuu
Naomba msaada wa kiufundi na ushauri kwa gari aina ya Subaru Legacy. Tatizo au si tatizo bado siajelewa ni kwamba, gari hii imekuwa na tatizo la kujizima hasa nikiwa katika mwendo mdogo kama 10kph. Tatizo hutokea pindi katika hali hizi:-
1. Napoikaribia gari nyingine mfano nikiwa katika foleni
2. Kama nakata kona na a/c ikiwa mathalani kama 20centigrade degree hv, mfano nahama kutoka upande wa kushoto kwenda kulia
3. Au kukanyaga mafuta kwa nguvu sana ilhali a/c ipo chini kama labda 20c.degree wk nje ni around 30c.degree au zaidi
Gari hii ni automanul, inazima alama za pale kwenye dashbodi zinawaka then ukiizima inawaka na kuendelea kama kawaida. Zingatia ya kwamba hii gari ina mfumo wa turbo changer hata ukiizima katika hali ya kawaida inazima baada ya sekunde 15. Kuna fundi umeme aliikagia akadai ni sensa zilizochini ya show ya gari na nyuma huwa zinasensi napoikaribia gari, au kitu kugonga ndio maana huzima, na ikikata kona inazima kutokana na mgandamizo wa hewa nk. Kwa kweli bado sijamuelewa vema japo aliikagua na akajiridhisha haina tatizo kwa kutumia kifaa kimoja hivi kama computer cha kusoma defaults za gari
Naomba wajuzi zaidi, wabobezi wa masuala ya magari msaada zaidi
Wassalam

Aise angalia kwanza plague maana the same same tatizo lilishawahi kunikumba hila nkapiga diagnosis ikaonesha plague mbili hazichomi......hila kama sio plague basi we piga diagnosis husiruhusu fundi akaingiza spana zake kwanza
 
Habari zenu wakuu
Naomba msaada wa kiufundi na ushauri kwa gari aina ya Subaru Legacy. Tatizo au si tatizo bado siajelewa ni kwamba, gari hii imekuwa na tatizo la kujizima hasa nikiwa katika mwendo mdogo kama 10kph. Tatizo hutokea pindi katika hali hizi:-
1. Napoikaribia gari nyingine mfano nikiwa katika foleni
2. Kama nakata kona na a/c ikiwa mathalani kama 20centigrade degree hv, mfano nahama kutoka upande wa kushoto kwenda kulia
3. Au kukanyaga mafuta kwa nguvu sana ilhali a/c ipo chini kama labda 20c.degree wk nje ni around 30c.degree au zaidi
Gari hii ni automanul, inazima alama za pale kwenye dashbodi zinawaka then ukiizima inawaka na kuendelea kama kawaida. Zingatia ya kwamba hii gari ina mfumo wa turbo changer hata ukiizima katika hali ya kawaida inazima baada ya sekunde 15. Kuna fundi umeme aliikagia akadai ni sensa zilizochini ya show ya gari na nyuma huwa zinasensi napoikaribia gari, au kitu kugonga ndio maana huzima, na ikikata kona inazima kutokana na mgandamizo wa hewa nk. Kwa kweli bado sijamuelewa vema japo aliikagua na akajiridhisha haina tatizo kwa kutumia kifaa kimoja hivi kama computer cha kusoma defaults za gari
Naomba wajuzi zaidi, wabobezi wa masuala ya magari msaada zaidi
Wassalam

Au mkuu nintakutafutia namba ya Kelvin huyo ndio subaru wizzy hapa TZ. Hata watu wa subaru family ndio huwa wanaenda kwake kuzifanyia settings na customization
 
Ntashukuru ukinisaidia namba ya huyo jamaa. Huyu jamaa nadhani nae alifanya diagnosis na karatasi akaniprintia lkn inaonyesha kila kitu kipo okey
Nasubiri namba hy
 
ngoja niweke hapa. SUMATRA Wanakagua mabasi ya mikoani Ubungo mida hii mabasi ya kuondoka saa kumi na mbili ndio yana anza ondoka sasa na ni kwa kusota
 
Hapo ajali haiepukiki huo mwendo watakaotoka nao na mashindano juu
 
Ntashukuru ukinisaidia namba ya huyo jamaa. Huyu jamaa nadhani nae alifanya diagnosis na karatasi akaniprintia lkn inaonyesha kila kitu kipo okey
Nasubiri namba hy

tatizo wakuu mashine zimeharibu sana mafundi na kuwaharibu nyie mnao miliki magari.
hiyo gari kwa maelezo yako inatatizo kwenye idle sensor inawezekana ikawa chafu au imekufa.

sababu zinazonishawishi kusema hivyo nikutokana na maelezo yako hapo juu kwa kawaida kazi ya idle sensor ni kubalance silensa ya gari ukiwasha ac unapoiongezea injini mzigo kwa kuwa kuna waya wa ac huwa unaenda kwenye control box basi yeneywe itaongeza silensa ili kumaintain.

na unapo punguza mwendo au kukata kona yenyewe ndio huwa inafanya kazi ya kubalance mambo.na kama utapiga lesi kubwa na ukiachia gari inazima basi hilo ndio tatizo.

mbali ya hayo inatakiwa pia ukague vitu hivi plug airclener fuel systerm kama fuel filter na nozel zake pressure ya fuel pump.hizo systerm 3 lazima zi balance kimoja wapo kikipungia kiwango lazima gari itafanya hivyo.

mashine huwa hazitambui matatizo yote ya gari mengine uelewa wa fundi unahitajika
 
Nashukuru Mkuu
Mwongozo wako ntaufanyia kazi then ntaleta feedback
 
Hapo ajali haiepukiki huo mwendo watakaotoka nao na mashindano juu

ajari za bongo sio mwendo tatizo njia zetu ni mbovu sana .zipo chini ya kiwango kuna sehem kupishana magari nishida
 
Wakuu habari za kazi Naomba kujua Bei ya sensor za Nissan serena

sensor gani mkuu?? gari ina sensor nyingi sana sasa sijui wewe unataka sensor gani??

ngoja nikupigie lamli utakuwa unataka sensor kama sio CMP or CKP .
camshaft position sensor au crank shaft position sensor.

gari inakusumbua kuwaka mkuu ina hard start or haiwaki kabisaaa
 
Alama hii inawaka kwenye dashboard inamaanisha nini?
 
Attachments

  • 1450937502872.jpg
    1450937502872.jpg
    11.7 KB · Views: 311
Heshima kwenu wakuu...
Jamani naomba ushauri wa kina juu ya Toyota Duet...kwa anayeifahamu vizuri naomba anipe in and out ya haka kagari...nimetokea kukapenda sana!
Vp kuhusu uimara wake ktk barabara zetu za mikoani?
 
Back
Top Bottom