Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
OK nipeni muda kidogo tafanya hivyo
: UFAHAMU:Matairi ya gari muda wake rasmi wa matumizi ni miaka minne ( 4 ) tu toka yatengenezwe (Sio toka uyafunge kwenye gari yako). Ikishapita miaka minne toka tairi litengenezwe linaweza kupasuka wakati wowote. Jinsi ya kutambua tairi lilitengenezwa lini tafuta alama kwenye tairi iliyoandikwa kwa mfumo huu (*2603*) kuna kuwa na alama ya nyota mwanzo na mwisho wa hizo namba nne. Namba mbili za kwanza zinaonyesha tairi lilitengenezwa wiki ya ngapi katika wiki 52 za mwaka na namba mbili za mwisho zinaonyesha mwaka tairi lilipo tengenezwa. Kwa mfano *2603* inamaanisha tairi lilitengenezwa wiki ya 26 ya mwaka 2003 au *2699* inamaanisha tairi lilitengenezwa wiki ya 26 ya mwaka 1999. KAGUA MATAIRI YAKO USITUMIE TAIRI LILILO PITA ZAIDI YA MIAKA MINNE KWANI LINAWEZA PASUKA WAKATI WOWOTE.
[13:54, 21/02/2015] Lovell Lewalle (Driver): Pia kila tairi limeandikwa uwezo wa spidi yake ukikimbiza zaidi ya uwezo wake itapasuka na hizo spidi zimeandikwa kwa herufi Kama ifuatavyo
CODE. SPIDI
F========80
G ========90
J ========100
K ========110
L ========120
M ========130
N ========140
P ========150
Q ========160
R ========170
S ========180
T ========190
H ========200
Huandikwa hivi
280/R/70/13/560/S
Hapo herufi S inawakilisha spidi,180.
Asante sana LEGE. Mimi nahitaji power window ya Peugeot 307.
Mkuu pamoja na tairi kundikwa hivyo,iyo mark ya namba za tairi inaweza kuangaliwa pale katika mkanda wa dereva kuna kitag cheupe kimeshonewa na mkanda.
Naomba kurudi swali langu maana sikujibiwa: nilikuwa naangalia magari kwenye mtandao nikaona baadhi ya magari transmission wameandika 'CVT automatic' na mengine yameandikwa 'automatic' je, kuna tofauti yoyote kati ya hivi vitu viwili.
mkuu naomba add namba 0629840820 katika whatsapp group
Kaka Mshana, naomba nami kuunganishwa kwenye group hilo. 0762246427
Mshana, ww ni mtu muhimu kwetu. Nami niunganishe +255 758967707
Add me to group 0767229424
Mshana naomba muunganishe brother wangu kwa no.0768799078
Naomba radhi sana kwa kushindwa kutimiza ahadi, nilitingwa kupitiliza, isichukuliwe kama ni dharau naheshimu sana uhitaji wenu kwenye hili, naamini mlisaidika kwa njia nyingine
Naamini angelo007 aliokoa jahazi
hahaha hivi ni kweli hilo group lipo maana mm nishaomba sana kuungwa .ni mwendo wa danadana mpaka nikawafuata nyote wa wili PM Lakini.wapi ww mkuu mshana kwa kuwa na namba yako nikakutumia mpaka sms kwenye watsapp nikajua itakuwa rahisi lkn bado ni mwendo wa sound 2.
ndio mkuu mm nilikujibu kuwa tofauti ipo??.
au wataka maelezo ya kiundani zaidi tofauti yake ni ipi?? na utendaji wake kazi na sifa zake ni zipi??