Preta
JF-Expert Member
- Nov 28, 2009
- 24,320
- 18,852
Habari wadau
Nina gari langu rav 4 old model
Nimetoka kuosha full kwa car wash. Imekuwa nzito na inabadilisha na sauti yake kabisa inakuwa km gari bovu hususani ikiwa kwny silencer na ikiwa kwny mwendo mdogo.
Ila nikienda speed above 60km/hr ile muungurumo unapotea.
Haijawahi nitokea before.
Au maji yatakuwa yameingia kwny plugs
Inawezekena plugs zimeingia maji au kuna kitu kimechomoka........check vizuri coz ile pressure wanayotumia mara nyingine sio nzuri sana..........ilishawahi kunitokea kuna katube kalichomoka sikumbuki kalikuwa cha wapi........gari inakosa nguvu kabisa.....usipende sana wakuoshee na maji yenye pressure huko mara kwa mara...........