Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

Gari ikishazima kuwaka hadi ukae nusu saa ipoe kabisa ndo inawaka tena sasa wameniambia ni sensor

mhhh sio crankshaft mkuu??
hapo inatakiwa uwe makini au uwe na uhakika.usije ukaenda kununua sensor mara mbili??
kama upo dar twaweza wasiliana au tafutana mkuu.bei ya sensor ni kama laki 1.pamoja na ufundi wa kufungiwa.
 
Habari wadau mwenye uzoefu wa ku-clear magari bandarini certificate of appraisal ni ya lazima!? Maana nimetumia inspection certificate hiyo apprausal haipo!!
 
Habari za mapumziko
Naombeni ushauri. Kununua daladala specifically Isuzu journey iliyotumika kwa hapa Tanzania kwa bei isiyozidi milioni 8.5. Je inaweza kuwa nzuri na isiyo na gharama kubwa sana za matengenezo? Ni kwa ajili ya kazi ya usafirishaji abiria kwa hapa mjini Dar Es Salaam.
Nawasilisha
 
Unanunua presha kwa hela yako mwenyewe in most cases hiyo gari imetumika sana trip moja abiria trip moja kwa fundi lakini waweza kubahatika
 
Poa mkuu kwa ushauri
Je kiasi gani standard cha pesa naweza kupata daladala nzuri inayoeleweka?
 
Naomba nisaidie eti kama gari ipo ktk speed nikaachia mafuta na nisikanyage breki kwa gari ya automatiki.
Kuna madhara yoyote ktk gear box na jee inasevu mafuta kwa asilimia ngapi? Nijuze ndugu yangu najua umu kuna wanaojua kuliko mimi navyofikiria
 
Hakuna madhara lakini mbaya ni ile kila saa kuhama kutoka kwenye D kurudi N kwa nia ya kusave, kiukweli hakuna unavyosave zaidi ya kuichosha gearbox na gearbox mounting kwasababu kila wakati kabla hydraulic haijamaliza mzunguko unairudisha tena kwenye saver yake
 
Naomba nisaidie eti kama gari ipo ktk speed nikaachia mafuta na nisikanyage breki kwa gari ya automatiki.
Kuna madhara yoyote ktk gear box na jee inasevu mafuta kwa asilimia ngapi? Nijuze ndugu yangu najua umu kuna wanaojua kuliko mimi navyofikiria

kusave ulaji wa mafuta kwenye gari ya automatic kuna njia nyingi sana kuna uzi upo humu unazungumzia njia.hizo lakini hata jinsi unavyoendesha gari pia unaweza ukasave mafuta pia.
 
habari wadau!
nimeipenda pajero mini ya 2001,660cc
tafadhali naomna mnijuze kuhusu ubora na idhaifu wake
 
Back
Top Bottom