Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

mkuu unataka fundi wa gdi wa sekta gani??
ww nyosha maelezo tuu kuwa gari yako inamatatizo gani ili usaidiwe.
siunajua tena jf ni zaidi ya hao ma specialist unao watafuta??

funguka ufunguliwe
 
wadau mnisaidie ufahau juu ya engine D4 na changamito zake na kuna tofauti gn ya kiutendaji kati D4 na 3S engine..
 
Mshana Jr,

Hebu nisaidie kidogo hapa. Nini maana ya alama ya T/AP nyekundu kwenye dash board? Gari linaonyesha hii alama na hata ukiweka drive gari halitembei na hata ukireverse gari haliondoki? Aina ya gari ni Totyota LandCruiser VX V8. Ukiwasha engine inawaka kama kawaida.

Niambie tatizo ni nini? Otherwise happy new year 2016. By the way umekuwa wa kwanza kutakiwa happy new year na mimi.

Tiba
 
@Tiba asante nipe muda kidoogo ila hiyo codes zinahusika
 
Habari wakuu! Naomba kujua ubora na efficiency ya Mazda Axela (Mazda 3). Nna lengo la kuagiza ya cc 1500 au 2000, ila kabla sijafanya hivyo nadhani ni vyema kuomba ushauri kwa wanaozijua na wazoefu wa magari kwa ujumla.
Happy New Year 2016!
 
Lege hyo code reader ikoj mkuu
 
Heri ya mwaka mpya!
please Mshana Jr naomba uni-add kwenye whatsapp group.. 0689269588
 
Mshana nisaidie ufahamu juu ya engine D4 na changamoto zake na kuna tofauti gn ya kiutendaji kati engineD4 na 3S engine..?
 
Habarini jamani! Naomba kuuliza kama kuna tofauti ya transmission ya automatic na automatic CVT katika utendaji wake wa kazi ama ni kitu kimoja!?
Transmission oil zinatofautiana sana sio kati ya cvt. Peke yake. Nakushauri usome stick ya gari husika,kwani ukibadilisha wrong transmission utaua gear box
 
Poa shida ilikuwa nini?
Kuna MTU alicheza Na gear level ya 4 wheel drive Na kushindwa kuirudisha kwenye nafasi Yake. As a result Gari ilikuwa haiwezi kumove. Alikuja mtaalamu akarudisha hiyo gear level kwenye nafasi sahihi, hiyo Alana ya A/TP iliondoka Na Gari lilianza kutembea.
 
Du OK pole sana ungekutana na mtu asiye mwaminifu angekupiga hela
 
Habari Wakuu
Naomba kueleimishwa tofauti kati ya Toyota Grand Mark 2 na Toyota Mark X katika mambo haya
1. Ubora/uimara
2. Ukubwa wa injini
3. Gharama za service
4. Mifumo ya kiumeme
5. Mengineyo mnayojua zaidi
Matumizi yake ni pamoja na safari ndefu kama za Dar to Tunduma na kuna wakati ntahitaji kupita barabara za vumbi
Nawasilisha
 
gari kuwa na RPM kubwa at silence zaidi ya 1.5 , je ni dalili ya tatizo au ni kawaida?
 
Maelezo hayajitoshelezi kitakachotokea hapa ni assumptions na guess works nyingi kitu ambacho si kizuri kwake na kwa forum pia

Aseme kama kacheck stab bush.....stab link....rack hand......butty rubber......kama zipo sawa zote......tuchimbue zaidi........
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…