Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

Wadau..naomba maoni yenu ya kiusalama....nataka kusafiri usiku kuanzia saa tisa kuelekea moshi kupitia njia ya msata....! Naomba maoni yenu je ni salama kupita njia hyo kwa usiku wa saa tisa??!
Binafsi nilisafiri ilikua mwaka jana mwezi wa 9 niliondoka Dar saa kumi alfajiri na safari ilikua salama tu. Labda uondoke kuanzia saa kumi na mimi nilishauriwa hivyo.
 
Hii gari imekua ni ndoto yangu ya muda mrefu tangu utoton lakin naona ni wakati sasa wa mimi kuimiliki!

Wakuu naomba mnisaidie kujua nini hasa ni tatizo lake ugonjwa wake wa kudumu, ukubwa wa injini, je nitaweza funga A/C? Ulaji wake wa mafuta lkn pia bei na wapi nitaweza kuipata kwa bei nafuu???

Nawasilisha.
 
Duu Beetle halafu unaulizia ulaji wa mafuta? Hizo hazina shida kabisa kuhusu ac sina hakika, ukiifuma mahali ichukue ila engine iko nyuma
 
Natafuta Toyota corolla spacio new model, gharama zake katika yard za hapa bongo inaweza kufikia ngapi??
 
Daah, my dream car too, mshana naomba full details kama unazo please, kuhusu ulaji wa mafuta na wapi kwa bei gani inaweza kupatikana.
 
Daah, my dream car too, mshana naomba full details kama unazo please, kuhusu ulaji wa mafuta na wapi kwa bei gani inaweza kupatikana.
Kuna wakati niliwahi kuiona Beforward, kilichonishangaza ni kuwa ilikuwa na 1800cc. Sikumbuki bei yake.
 
Hii mkuu huikubali?
 
Eti wakuu, kilometa sahihi za kufanya service kwa kigari kama vitz ni ngapi?
Mimi nafanya kwa 3000km lakini wadau wengine wananishauri nifanye kwa 5000km, anaombeni utaalamu wenu.
 
Eti wakuu, kilometa sahihi za kufanya service kwa kigari kama vitz ni ngapi?
Mimi nafanya kwa 3000km lakini wadau wengine wananishauri nifanye kwa 5000km, anaombeni utaalamu wenu.
service inafanywa kutegemea na aina ya oil uliyoweka. Kuna oil kama za bp premium zinaenda mpaka km 5000 bila kuchoka ila kama watumia oil za kawaida elf 3 ndo mwisho wake hebu taja oil unayotumia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…