Mbimbinho
JF-Expert Member
- Aug 1, 2009
- 8,328
- 7,784
Usijaribu hata siku moja
Wadau kwani njia hiyo ina nini?? Maana kila mtu naona anapinga mbaya
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Usijaribu hata siku moja
Kuna asilimia kubwa ya kupimwa tezi dume kutembea usiku,Wadau kwani njia hiyo ina nini?? Maana kila mtu naona anapinga mbaya
Binafsi nilisafiri ilikua mwaka jana mwezi wa 9 niliondoka Dar saa kumi alfajiri na safari ilikua salama tu. Labda uondoke kuanzia saa kumi na mimi nilishauriwa hivyo.Wadau..naomba maoni yenu ya kiusalama....nataka kusafiri usiku kuanzia saa tisa kuelekea moshi kupitia njia ya msata....! Naomba maoni yenu je ni salama kupita njia hyo kwa usiku wa saa tisa??!
Duu Beetle halafu unaulizia ulaji wa mafuta? Hizo hazina shida kabisa kuhusu ac sina hakika, ukiifuma mahali ichukue ila engine iko nyuma![]()
Hii gari imekua ni ndoto yangu ya muda mrefu tangu utoton lakin naona ni wakati sasa wa mimi kuimiliki!
Wakuu naomba mnisaidie kujua nini hasa ni tatizo lake ugonjwa wake wa kudumu, ukubwa wa injini, je nitaweza funga A/C? Ulaji wake wa mafuta lkn pia bei na wapi nitaweza kuipata kwa bei nafuu???
Nawasilisha.
Daah, my dream car too, mshana naomba full details kama unazo please, kuhusu ulaji wa mafuta na wapi kwa bei gani inaweza kupatikana.![]()
Hii gari imekua ni ndoto yangu ya muda mrefu tangu utoton lakin naona ni wakati sasa wa mimi kuimiliki!
Wakuu naomba mnisaidie kujua nini hasa ni tatizo lake ugonjwa wake wa kudumu, ukubwa wa injini, je nitaweza funga A/C? Ulaji wake wa mafuta lkn pia bei na wapi nitaweza kuipata kwa bei nafuu???
Nawasilisha.
lionhard: bittle naipenda hasaDaah, my dream car too, mshana naomba full details kama unazo please, kuhusu ulaji wa mafuta na wapi kwa bei gani inaweza kupatikana.
Kuna wakati niliwahi kuiona Beforward, kilichonishangaza ni kuwa ilikuwa na 1800cc. Sikumbuki bei yake.Daah, my dream car too, mshana naomba full details kama unazo please, kuhusu ulaji wa mafuta na wapi kwa bei gani inaweza kupatikana.
![]()
Hii gari imekua ni ndoto yangu ya muda mrefu tangu utoton lakin naona ni wakati sasa wa mimi kuimiliki!
Wakuu naomba mnisaidie kujua nini hasa ni tatizo lake ugonjwa wake wa kudumu, ukubwa wa injini, je nitaweza funga A/C? Ulaji wake wa mafuta lkn pia bei na wapi nitaweza kuipata kwa bei nafuu???
Nawasilisha.
service inafanywa kutegemea na aina ya oil uliyoweka. Kuna oil kama za bp premium zinaenda mpaka km 5000 bila kuchoka ila kama watumia oil za kawaida elf 3 ndo mwisho wake hebu taja oil unayotumiaEti wakuu, kilometa sahihi za kufanya service kwa kigari kama vitz ni ngapi?
Mimi nafanya kwa 3000km lakini wadau wengine wananishauri nifanye kwa 5000km, anaombeni utaalamu wenu.
service inafanywa kutegemea na aina ya oil uliyoweka. Kuna oil kama za bp premium zinaenda mpaka km 5000 bila kuchoka ila kama watumia oil za kawaida elf 3 ndo mwisho wake hebu taja oil unayotumia
hiyo ni standard mkuu tembelea km elf tatu tu ila ukiipata bp premium hiyo ndo elf tanohii KM ngapi?![]()
Nashukuru mkuu, huwa naifanyia baada ya KM2500hiyo ni standard mkuu tembelea km elf tatu tu ila ukiipata bp premium hiyo ndo elf tano
Ninapo washa gari signs zote zinawaka red then zinazima