Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

hiyo ni standard mkuu tembelea km elf tatu tu ila ukiipata bp premium hiyo ndo elf tano

Kutumia bp standard au premium is not just the matter ya availability.Kuna criteria kuwa kwa gari used say lina milleage above 100,000 unaushauriwa utumie bp standard.ila kama ni injini mpya au halijatembea sana unatumia premium.

zingatia: iwe bp standard au prem zote ni km 3000 ila kimaskini unaweza kuvuta tano ila utakua una hatarisha uhai wa injini.Standard na premium is not about Km rather kuna vigezo vya engine state whether too old au mpya mkuu!

Kuna chemistry ya viscosity na temprature ambayo ni ya msingi kuielewa kabla ya kujua injini ipi inatumia oil ipi.

after all whether bp standard au premium bei ni 50,000 hadi 55,000 (zote mbili bei ni moja) kwa dumu la 5lts au lita moja moja inauzwa 14,000. so ipo sana.

Tazama attachment ya sampuli ya engine oil ambayo ni fully synthetic ambayo kwa standard sake BP hakohoi (mineral oil vs synthetic oil)

 
Kwa Dar service nzuri inafanyika wapi?
Gari ni XTrail nataka sehemu wanayoweka yale mafuta recommended na Nissan.

Natanguliza Shukrani!
yapi...gear box oil au engine oil..au?
Funguka mkuu nikuelekeze.
 
Lege sina utaalamu wa gari naomba Namba ya huyo Fundi aweze kunisaidia mana hata gari naogopa kutoka nayo.plzz
 
 
Wakuuu hivi utofauti wa gari za diesel na petrol uko wapi, mana mi nimetokea kuzipenda za diesel hasa kwa kuwa bei ya disel lwa sasa iko chini kuliko petrol,... Naomba mnisaidie...
 
Kuna jamaa yangu gar yake akiwasha Ac akiwa kwenye folen au ipo speed inacheza(vibrate) yaan kama inahama njia hv tatzo n niniii?
mm nashauri kwa watu wanao omba ushauri au msaada muwe mnajirahidi sana kutoa maelezo yaliyo shiba ili uweze kusaidiwa kwa urahisi na haraka zaidi.

mfano hiyo gari ni aina gani ikiwezekana taja na engine kabisa coz mifumo inatofautiana sana.

okey in short hiyo gari inamatatizo na idle systerm.

inamaana mfumo wa hewa coz ilitakiwa gari unapo washa ac au hata weka gia gari ipandiahe sailensa kidogo.

na upandishaji wa sailensa upo wa njia tofauti unapowasha ac kutokana na aina ya gari or engine sasa hapo ndio balaa la kutoa taarifa nusu. nusu
 
Naomba kujua kwa gari km ist ni vizuri kuweka engine oil ambayo inaweza kutembea up to 30000 km?
 
Mi nataka kufanya biashara ya Kuuza Magari. Naombeni msaada jinsi ya kuagiza kutoka Japan mpaka hapa. Je niwatumie maagent wa huku Kama be forward au nifanye je?
 
Zipo gar za 6m nyingi2 so kama upo serioulsy nchek hapa #0712-511151 @boyfriendly
Kaka mimi nahitaji injini ya 1KZ na gearbox automatic, nataka niivalishe kwenye surf, napataje?! Isiwe imetumika huku Tz, iwe used imported.
 
Wadau naombeni msaada gari yangu aina ya mercedes benz c 200 imekua ikiua fuel pump sana nimefunga pump 3 zote zimekufa sielewi tatizo nn mwenye msaada tafadhali
 
Wadau naombeni msaada gari yangu aina ya mercedes benz c 200 imekua ikiua fuel pump sana nimefunga pump 3 zote zimekufa sielewi tatizo nn mwenye msaada tafadhali
Fanya diagnosis ya computer utajua shida iko wapi usibahatishe
 
Mshana mimi nataka kununua Suzuki Escudo naomba ushauri wako pia km bei yake kuagiza japani nusaidie.
 
Mshana mimi nataka kununua Suzuki Escudo naomba ushauri wako pia km bei yake kuagiza japani nusaidie.
Mambo yapo wazi sana siku hizi. Fungua tovuti ya Beforward/SBT/Autocom tafuta aina ya gari utakalo. Pia fungua tovuti ya TRA na click upande wa calculator and tools kwa ajili ya kuangalia ushuru. Pata gari, angalia CIF yake, angalia ushuru, do the maths.
 


Ahsante mkuu kwa website mpya ambayo nilikua siijui. Hiyo Autocom!
 
Wadau...eti chevrolet na swift ni mtu na mdogo wake?! Au kuna mmoja ni bora zaidi?! Kwa maana ya uimara!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…