Mwaikibaki
JF-Expert Member
- Mar 19, 2015
- 3,004
- 3,695
hiyo ni standard mkuu tembelea km elf tatu tu ila ukiipata bp premium hiyo ndo elf tano
Kutumia bp standard au premium is not just the matter ya availability.Kuna criteria kuwa kwa gari used say lina milleage above 100,000 unaushauriwa utumie bp standard.ila kama ni injini mpya au halijatembea sana unatumia premium.
zingatia: iwe bp standard au prem zote ni km 3000 ila kimaskini unaweza kuvuta tano ila utakua una hatarisha uhai wa injini.Standard na premium is not about Km rather kuna vigezo vya engine state whether too old au mpya mkuu!
Kuna chemistry ya viscosity na temprature ambayo ni ya msingi kuielewa kabla ya kujua injini ipi inatumia oil ipi.
after all whether bp standard au premium bei ni 50,000 hadi 55,000 (zote mbili bei ni moja) kwa dumu la 5lts au lita moja moja inauzwa 14,000. so ipo sana.
Tazama attachment ya sampuli ya engine oil ambayo ni fully synthetic ambayo kwa standard sake BP hakohoi (mineral oil vs synthetic oil)