Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

Kuna mdau hapa anaomba maoni yenu kwa gari mistubishi pajero IO ya 1998...anataka kuiagiza....nini maoni yenu kwenye uimara wa type hii ya gari? Mie binafsi nashinikiza achukue rav 4 ya miaka hyo...lakin mistubish imeimshika. Naomba maoni yenu
 
Kuna mdau hapa anaomba maoni yenu kwa gari mistubishi pajero IO ya 1998...anataka kuiagiza....nini maoni yenu kwenye uimara wa type hii ya gari? Mie binafsi nashinikiza achukue rav 4 ya miaka hyo...lakin mistubish imeimshika. Naomba maoni yenu
Ushauri wangu: bila kujali ni gari gani achukue ambayo haijazidi miaka kumi
 

Kwanini watu wanabadilisha kea kuweka Manual?? Kwanini manual ni bora na sio Automatic???
 
Kwanini watu wanabadilisha kea kuweka Manual?? Kwanini manual ni bora na sio Automatic???


Sio kweli kwamba manual ni bora kuliko automatic, ina tegemea na wewe matumizi yako, na kile ukipendacho, vyote ni vizuri tuu hasa ukizingatia umuhimu wa automatic kwenye hizi folen zetu ndevu za magari hapa mjini ambapo huwa kwangu ni the best choice...
 
Kwanini watu wanabadilisha kea kuweka Manual?? Kwanini manual ni bora na sio Automatic???
Gari ya auto ni nzuri ikibeba uzito wake.,mfano Hiace watu 10.,inakuwa poa.,lkn za bongo Hiace watu 25.,auto utaione huruma njia nyenye miinuko.,then lazima dereva ataanza kulia mafuta.,mfano kwenye route yangu zioo Auto 2.,wengine wakiweka mafuta ya 50 elf.,mwenye auto anaweka ya 70
 

Thanks mkuu, nimekusoma
 
Maswali mengine bana. Umefanya utafiti ukagundua zipo engines mbili 1490cc na 1790cc umeshindwa kumalizia utafiti wako kujua cc1490 na cc1790 ipi inakula sana mafuta??!!
 
Kuna uzi flan humu unazungumzia ushauri wa mambo ya magari...ufundi ma mwongozo...unaongozwa na kinara mshana jr. Utafute
 
Go for 1NZ ya spacio ila isiwe 4WD sababu kwanza ina space though najua itakua expensive kuliko Sienta kama una pesa chukua Spacio
 
mkuu gari ya manually ni nzuri zaidi ya sana kuliko unavyofikilia au zaidi ya point zako hapo juu.

maaana hapo point yako kubwa ni folen inamaanisha mkuu ww ni dereva wa mafungu manualy inakuzingua sana.ajari nyingi sana za kwenye folen ni outomatic.

ukija suala la mafuta gari automatic utalia sana na hasa jamaa kasema gari yake ni haice lazima ile kwake.

madereva makini ni wa manually.
 
Naungana na wewe mkuu LEGE,mimi nishafanya hvyo hi gar ya 3 sasa,hiace nissan caravan nyingi zinakuja auto lakini tunatoa na kuweka gearbox auto na ni sahihi kama ulivyosema sehemu ya kufix hivyo vitu mjapan aliweka hakuna shida sana,ila umakini unahitajika sana kwenye uungaji wa propera shafti kama itatokea ni ya kukata au kuongezwa!!
 
mkuu kuna hilux pickup ina engine ya 3y ni auto hebu kwa uzoefu wako nipe makadirio kwa kila kitu mpaka iwe manual niandae kama sh ngp?nataka makadirio tu mkuu vifaa vyote kwako mi nilete gari ikiwa auto niifate ikiwa manual
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…