Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

Kuna mdau hapa anaomba maoni yenu kwa gari mistubishi pajero IO ya 1998...anataka kuiagiza....nini maoni yenu kwenye uimara wa type hii ya gari? Mie binafsi nashinikiza achukue rav 4 ya miaka hyo...lakin mistubish imeimshika. Naomba maoni yenu
 
Ushauri wangu: bila kujali ni gari gani achukue ambayo haijazidi miaka kumi
 
mkuu mm nakumbuka mara ya mwisho gari ambayo tuliibadili hivyo ni mini cooper.kama upo dar nipe mm hiyo kazi mkuu kama upo dar.sababu sio kazi ya kuumiza sana kichwa ni kazi ya kutoa na kufunga tuu. hapo.

naongea hivyo sababu nishaona nishafanya na bado watu wanafanya hivyooo.

daladala kibao macoaster watu wanabadili automatic na kiyaweka gearbox za manually kila leo inanunuliwa gari mpya ya automatic kwaajili ya daladala wanaivua gearbox ya automatic na kuivisha ya manually.

Kwanini watu wanabadilisha kea kuweka Manual?? Kwanini manual ni bora na sio Automatic???
 
Kwanini watu wanabadilisha kea kuweka Manual?? Kwanini manual ni bora na sio Automatic???

Sio kweli kwamba manual ni bora kuliko automatic, ina tegemea na wewe matumizi yako, na kile ukipendacho, vyote ni vizuri tuu hasa ukizingatia umuhimu wa automatic kwenye hizi folen zetu ndevu za magari hapa mjini ambapo huwa kwangu ni the best choice...
 
Kwanini watu wanabadilisha kea kuweka Manual?? Kwanini manual ni bora na sio Automatic???
Gari ya auto ni nzuri ikibeba uzito wake.,mfano Hiace watu 10.,inakuwa poa.,lkn za bongo Hiace watu 25.,auto utaione huruma njia nyenye miinuko.,then lazima dereva ataanza kulia mafuta.,mfano kwenye route yangu zioo Auto 2.,wengine wakiweka mafuta ya 50 elf.,mwenye auto anaweka ya 70
 
Thanks mkuu, nimekusoma
 
habari wadau
naomaba ushauri nahitaji kununua gari ya 7 seater kwa ajili ya familia ya bei poa huwa nina safari za hapa na pale pamoja na safari ndefu mara moja moja.
Nimevutiwa na gari hizi Toyota spacio na Sienta haya magari yote yana model zenye 4WD kwan kwenye baadhi ya safari zangu nitaingia sehem zenye bara bara mbaya.
Kwa kulinganisha magari haya nimegundua Toyota Spacio zipo zenye injini aina mbili 1NZ-1490cc na 1ZZ-1790cc(zenye 4WD zina injini hii) wakati Sienta zote zina injini 1NZ

je kuna tofauti yoyote katika uimara na utumiaji wa mafuta kwa zenye 4WD na za kawaida
je kuna tofauti gani kati ya 1NZ na 1ZZ engine

je kati ya magari haya mawili lipi bora lisilosumbua na linalotumia mafuta vizuri na spea kupatikana

naomba ushauri kwa anayefahamu

Natanguliza shukran kwa atakayetoa ushauri
Maswali mengine bana. Umefanya utafiti ukagundua zipo engines mbili 1490cc na 1790cc umeshindwa kumalizia utafiti wako kujua cc1490 na cc1790 ipi inakula sana mafuta??!!
 
Kuna uzi flan humu unazungumzia ushauri wa mambo ya magari...ufundi ma mwongozo...unaongozwa na kinara mshana jr. Utafute
 
Go for 1NZ ya spacio ila isiwe 4WD sababu kwanza ina space though najua itakua expensive kuliko Sienta kama una pesa chukua Spacio
 
1456340044042.jpg
 
Kwanini watu wanabadilisha kea kuweka Manual?? Kwanini manual ni bora na sio Automatic???

Sio kweli kwamba manual ni bora kuliko automatic, ina tegemea na wewe matumizi yako, na kile ukipendacho, vyote ni vizuri tuu hasa ukizingatia umuhimu wa automatic kwenye hizi folen zetu ndevu za magari hapa mjini ambapo huwa kwangu ni the best choice...
mkuu gari ya manually ni nzuri zaidi ya sana kuliko unavyofikilia au zaidi ya point zako hapo juu.

maaana hapo point yako kubwa ni folen inamaanisha mkuu ww ni dereva wa mafungu manualy inakuzingua sana.ajari nyingi sana za kwenye folen ni outomatic.

ukija suala la mafuta gari automatic utalia sana na hasa jamaa kasema gari yake ni haice lazima ile kwake.

madereva makini ni wa manually.
 
Naungana na wewe mkuu LEGE,mimi nishafanya hvyo hi gar ya 3 sasa,hiace nissan caravan nyingi zinakuja auto lakini tunatoa na kuweka gearbox auto na ni sahihi kama ulivyosema sehemu ya kufix hivyo vitu mjapan aliweka hakuna shida sana,ila umakini unahitajika sana kwenye uungaji wa propera shafti kama itatokea ni ya kukata au kuongezwa!!
 
mkuu kuna hilux pickup ina engine ya 3y ni auto hebu kwa uzoefu wako nipe makadirio kwa kila kitu mpaka iwe manual niandae kama sh ngp?nataka makadirio tu mkuu vifaa vyote kwako mi nilete gari ikiwa auto niifate ikiwa manual
 
mkuu gari ya manually ni nzuri zaidi ya sana kuliko unavyofikilia au zaidi ya point zako hapo juu.

maaana hapo point yako kubwa ni folen inamaanisha mkuu ww ni dereva wa mafungu manualy inakuzingua sana.ajari nyingi sana za kwenye folen ni outomatic.

ukija suala la mafuta gari automatic utalia sana na hasa jamaa kasema gari yake ni haice lazima ile kwake.

madereva makini ni wa manually.

Mkuu Lege, iyo habar ya folen nimetolea mfano tu bro, automatic za kisasa nyingi zimeboreshwa mfumo wa engine so ulaji wake wa mafuta ni kawaida tu kama zile manual. na sometimes nyingine zinabana wese zaid ya manual believe me nimeexperience hii kwa mda sasa. Kuhitimisha hoja hii, mimi binafsi naaamini ulaji wa mafuta either ni automatic au manual wakat mwiningne inategmea na udereva.
 
Back
Top Bottom