Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

Natafuta gearbox ya Ipsum model TA ACM21W ya 2002, iwe nzima na siyo ya kujaribujaribu, mwenye nayo tafadhal PM, thanx!
 
Wakuu naombeni Ushauri maana nataraji kutafuta usafiri binafsi kwa matumizi ya kifamilia, ni ipi gari nzuri kati ya Subaru Forester 2003-2007 na Honda HRV 2004-2007
Na je gari hizi zinatumia injini ya aina gani na ipi ni bora???
 
Wakuu naombeni Ushauri maana nataraji kutafuta usafiri binafsi kwa matumizi ya kifamilia, ni ipi gari nzuri kati ya Subaru Forester 2003-2007 na Honda HRV 2004-2007
Na je gari hizi zinatumia injini ya aina gani na ipi ni bora???
Chukua Honda
 
Naomba ushauri mwenye uzoefu we hii gari nataka kununua milion 8
Ni Mazda MPV. Namba DBS ...

View attachment 324897View attachment 324898
Kama unaamini unaweza kutunza gari na ikidai kitu unaipa, chukua hiyo uimara wake ni sawa na ford tu......hila kama unaona ikihitaji kitu mfano plague then ukaleta ubahiri basi iache tu, na hiyo ndinga kabla haujailipia kapige diagnosis
 
Salaam wanajukwaa,, shida yangu kubwa ni kutaka Kujua ni kwa namna gani naweza kupandisha gari langu kwenda juu? Ni vitu gani naweza kununua? Kwa mfano gari kama Land rover discovery. Ili iwe na tyre pana na kubwa. Msaada
Tungesema uongeze Spencer walau ya inch 1 hila sikushauri coz gari unapoongeza urefu kwenda juu na balance inapotea.......je discover yako ni ya booster or coil ?
 
Wadau naomba msaada kwenye hayq magari .
1 Honda CRV RD 2 .
2. mitsubish io
3. fielder milage 200k km
4.Mark2 grand
Option ganI itanifaa maana yote ni used na nahitaji moja kati ya haya.
Chukua mark II grande hiyo au honda ndio zinavumilia shida
 
Wakuu habari, naomba msaada kujua ni nini kinasababisha harufu or Moshi kuingia ndani ya gari wakati unatumia AC na umefunga vioo vyote?? Maana mwanzo hili tatizo halikuwepo na gari haijapata ajari yoyote??
Ukipita sehemu yenye moshi tu au kila ukiingia kwenye gari na harufu inaanza
 
Habari waungwana. ...fundi wa zile remote lock ya gari ani PM. .niko arusha wiki mbili
 
Wonderful...inakamata barabara hasa
Shukrani zaidi mkuu, vipi kuhusu upatikanji wake wa vipuri, being na ufundi (kimatengenezo) ukilinganisha na Subaru?
Binafsi nilikua naogopa kununua, maana naona si watu wengi sana wenye azo, hasa kwa maeneo ya Dar, Mwanza or Arusha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…