Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ndo nataka nisigombane na mtu, huku ililetwa ya rav 4, haifai.Hiyo kitu utagombana na wengi
uko wapi mkuu?? dar or nje ya dar??ndo nataka nisigombane na mtu, huku ililetwa ya rav 4, haifai.
2WD, nipo nje ya dar, Mara!uko wapi mkuu?? dar or nje ya dar??
ni 2WD or 4WD??
ni PM mkuu mawasiliano yako.2WD, nipo nje ya dar, Mara!
Chukua HondaWakuu naombeni Ushauri maana nataraji kutafuta usafiri binafsi kwa matumizi ya kifamilia, ni ipi gari nzuri kati ya Subaru Forester 2003-2007 na Honda HRV 2004-2007
Na je gari hizi zinatumia injini ya aina gani na ipi ni bora???
Kama unaamini unaweza kutunza gari na ikidai kitu unaipa, chukua hiyo uimara wake ni sawa na ford tu......hila kama unaona ikihitaji kitu mfano plague then ukaleta ubahiri basi iache tu, na hiyo ndinga kabla haujailipia kapige diagnosisNaomba ushauri mwenye uzoefu we hii gari nataka kununua milion 8
Ni Mazda MPV. Namba DBS ...
View attachment 324897View attachment 324898
Tungesema uongeze Spencer walau ya inch 1 hila sikushauri coz gari unapoongeza urefu kwenda juu na balance inapotea.......je discover yako ni ya booster or coil ?Salaam wanajukwaa,, shida yangu kubwa ni kutaka Kujua ni kwa namna gani naweza kupandisha gari langu kwenda juu? Ni vitu gani naweza kununua? Kwa mfano gari kama Land rover discovery. Ili iwe na tyre pana na kubwa. Msaada
Chukua mark II grande hiyo au honda ndio zinavumilia shidaWadau naomba msaada kwenye hayq magari .
1 Honda CRV RD 2 .
2. mitsubish io
3. fielder milage 200k km
4.Mark2 grand
Option ganI itanifaa maana yote ni used na nahitaji moja kati ya haya.
Vipi kuhusu stability yake barabarani kwa safari ndefu.Chukua Honda
Ukipita sehemu yenye moshi tu au kila ukiingia kwenye gari na harufu inaanzaWakuu habari, naomba msaada kujua ni nini kinasababisha harufu or Moshi kuingia ndani ya gari wakati unatumia AC na umefunga vioo vyote?? Maana mwanzo hili tatizo halikuwepo na gari haijapata ajari yoyote??
Shukrani zaidi mkuu, vipi kuhusu upatikanji wake wa vipuri, being na ufundi (kimatengenezo) ukilinganisha na Subaru?Wonderful...inakamata barabara hasa