Gari aina ipi? Inawezekana ilipiga short wakati unabadili bila shaka itakua ni fuse zimeungua zifatilie ubadili.Habari wakuu, nimebadirisha betri , gari ilikuja na betri ya N 40 nikashauliwa kuweka betri ya N 50 , baada tu ya kubadirisha power window ya mlango wa dereva haiwezi kucontrol milango mingine, pia kuna kitaa hapo kwenye power window kinawaka na kuzima. Msaada tutani.
Ilikuwa 728,000 Tzs mwaka jana.,january hii ilikuwa 530,000 Tzs.,but fika TRA watakufanyia makadirio mkuu.kulipia haice mapato ni sh ngap wakuu
Nenda kwa dikisound yupo pale magomeniNina rav 4 yangu nimefunga radio yenye GpS lkn haifanyi kazi...nataka kujua je naweza weka GPS antennae ikafanya kazi??? Na je GPS antennae naweza nikazipata ktk maduka ya car accessories???
Mbona nasikia mazda r8 zinakunya mafuta zaidi ya brevis cc3000 wakati mazda nyingi ni cc1300 kama sikosei, ? sasa ziko bomba in case of speed & performance ama?kaka hizo engine ni bomba sana.. Nikama za ndege. Engene ya ndege hai2mii piston hasa hizi kubwa..kitaalamu hiz za rotor ni nzuri motion haupotei,even gearbox unatumia botorn.
Una maanisha Gps tracker? Mmh hiyo kwa Tz inafanya kazi kweli? Napata wsws anyway jaribu tuNina rav 4 yangu nimefunga radio yenye GpS lkn haifanyi kazi...nataka kujua je naweza weka GPS antennae ikafanya kazi??? Na je GPS antennae naweza nikazipata ktk maduka ya car accessories???
Ilikuwa 728,000 Tzs mwaka jana.,january hii ilikuwa 530,000 Tzs.,but fika TRA watakufanyia makadirio mkuu.
Yaah mkuu., na unaweza kuilipa kwa vipindi vinne.,yaan mie mitatu mitatu kwa 132,500Thanks Mkuu hyoo ni kwa mwaka mzima
Yaah mkuu., na unaweza kuilipa kwa vipindi vinne.,yaan mie mitatu mitatu kwa 132,500
Naitamani sana Toyota CAMI jamni naomba mniambie sifa zake hasa katika ulaji wa mafuta (1300cc), upatikanaji wa vipuri vyake n.k
Ni kitu cha kawaida sana usijali kuna rubber hunyauka na kuruhusu hewa kupita so it's not a big deal..Habari za majukumu wadau?
Tunafarijika kwa habari na taarifa mbalimbali kuhusu Magari!
Nimekuta kwenye taa za nyuma kuna unyevunyevu ndani ya taa moja! Ndo nini hicho? Na kukiondoa ni kwa njia gani?
Thanks in advance,
Mkuu hilo ni swala dogo,hio seal(rubber) ya kwenye hio taa zipo loose hivo zimerusu maji kuingia kwenye hio glass na kusababisha huo unyevunyevu. Solution ni kufungua hio taa na kuiosha tuu badilisha na hio raba.Habari za majukumu wadau?
Tunafarijika kwa habari na taarifa mbalimbali kuhusu Magari!
Nimekuta kwenye taa za nyuma kuna unyevunyevu ndani ya taa moja! Ndo nini hicho? Na kukiondoa ni kwa njia gani?
Thanks in advance,